Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Ndicho unnachokiamini .Na mimi naamini Mungu tu ndio mwenye uwezo wengine blah blah tu
Uko sawa. Imani huwa ni zao la uelewa wa mtu. Hata hivyo pale inapotokea umejiridhisha kabisa pasipo shaka, kwa akili yako mwenyewe kuwa kuna mtu ana uelewa zaidi yako, usiache kumsikiliza. Ukikuta watu wapo darasani wanasoma, ni kwa sababu wana uhakika kuwa mwalimu ana uelewa mpana zaidi kuliko wao
 
Mungu alimwambia ashirikishe watu wengine? Unazungumzaje Yesu kufanya miujiza mbalimbali na kuwaambia wanafunzi wake wasiseme lolote?

Endapo Mungu alimwambia ashirikishe na hakushirikisha, hilo ni kosa. Endapo hakuambiwa asishirikishe na atamke tu, basi yupo sawa.
Hapa Yesu alikuwa anawazuia kutangaza sifa zake.kwa hiyo huu siyo ushirika ambao mimi ninauongelea hapa.

Watumishi wa Mungu ni mwili mmoja, kila mtumishi ni kiungo katika mwili mmoja ambao ni Kristo. Hicho ndicho nilichomaanisha hapa kwamba, Nabii, Mtume, Mwalimu, Kuhani, nk wanatakiwa wafanye kazi kwa ushirikiano, kwa sababu wao ni viungo katika mwili mmoja. Hakuna kiungo ambacho huwa kinafanya kazi kwa kujitegemea peke yake.
 
Hapa Yesu alikuwa anawazuia kutangaza sifa zake.kwa hiyo huu siyo ushirika ambao mimi ninauongelea hapa.
Watumishi wa Mungu ni mwili mmoja, kila mtumishi ni kiungo katika mwili mmoja ambao ni Kristo. Hicho ndicho nilichomaanisha hapa kwamba, Nabii, Mtume, Mwalimu, Kuhani, nk wanatakiwa wafanye kazi kwa ushirikiano, kwa sababu wao ni viungo katika mwili mmoja. Hakuna kiungo ambacho huwa kinafanya kazi kwa kujitegemea peke yake
Eliya alikuwa akishirikiana na nan? Elisha? Yehu? Samweli? Yohana? Daniel?

Hapa nmekutajia manabii watupu, tena kuhusu Daniel ndo siwez kukueleza kabisa maana alipewa unabii akaambiwa auandike autunze sehemu mpaka wakati wake.

Sio kila jambo unaloambiwa na Mungu basi unashirikisha kwa watu wengine.
 
Eliya alikuwa akishirikiana na nan? Elisha? Yehu? Samweli? Yohana? Daniel?

Hapa nmekutajia manabii watupu, tena kuhusu Daniel ndo siwez kukueleza kabisa maana alipewa unabii akaambiwa auandike autunze sehemu mpaka wakati wake.

Sio kila jambo unaloambiwa na Mungu basi unashirikisha kwa watu wengine.
Kwa hiyo wewe unachosema hapa ni kwamba unabii ukishatoka huwa unakuwa uko final inabidi msubiri matokeo tu baaada ya hapo, si ndiyo?
 
NABII NI MJUMBE (BAROZI HAUWAWI) kazi ya nabii kufikisha ujumbe ili mlengwa apate kutubu,asipo tubu nabii hawezi kumzuia Mungu kutenda alilokusudia juu ya alie tumiwa ujumbe.
 
Umeongea uongo na ume bold kama ville wewe ni malaika. Mangapi yametokea kwake ameyazuia? Kwenye kila jambo Mungu anafanya ili utukufu wake udhihirike na Mwl.Mwakasege anajua hili.

Kazi ya nabii ni kufikisha ujumbe kwa mlengwa uwe mzuri au mbaya. Kuzuia au kutozuia ni juu yako mpokea taarifa.

Sio kila unabii lazima utimie kuna ambao hautimii sababu watu waliomba au kwa sababu nyingine tofauti soma Biblia yako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ngonjera zitaisha tu raisi wetu mpendwa mungu yu pamoja nawe wazushi wafitini mtaumbuka na sijui mtaficha wapi sura zenu sikuwahi fikilia Kama Tanzania tutafikia huku kumuombea raia namba moja mabaya hivi
Hivi unajua maana ya hilo neno nililoweka alama nyekundu? na Je unajua kuna tofauti a hilo neno uliloandika mungu na jina Mungu?
 
Toka awamu ya 5 imekalia kiti na maisha kuwa magumu, watabiri wengi sana wamejitokeza na kunena kwa lugha zote. Lakini hadi muda huu nachapisha namba za kila rangi tumezisoma. Vyovyote itakavyokuwa watu tumeteseka hadi tumezoea mateso.

Nasemaje, Mitano tena na iwe milele na milele hadi wanalumumba akili ziwarejee ndiyo ukombozi wa kweli utakuja.

Nasema uongo ndugu zangu?
Naunga mkonyo hoja.

Mi [emoji870] tena ya nguvu.
 
Back
Top Bottom