ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Kwa hiyo asokuwa na kiburi mwisho wake sio kaburi mkuu?na ubishi alokuwa nao bwana yule uliegemea watu wafanye nini,....kiburi mwisho wake mauti....................aende salama
Kwa hiyo asokuwa na kiburi mwisho wake sio kaburi mkuu?na ubishi alokuwa nao bwana yule uliegemea watu wafanye nini,....kiburi mwisho wake mauti....................aende salama
... Bashiru Ali Katibu Mkuu CCM (kiongozi mkubwa wa chama) kapewa ubalozi (majukumu ya kimataifa) then Katibu Mkuu Kiongozi. Kipengele hiki kimetimia pasi na shaka!....
5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.
...
Mkuu habariHiki watu wanatamani Tu
Sidhani kama afya mbovu kihivvyo
Magu kaua watu kwa personal issues zake,si kwa mslahi ya Taifa. Mfano issue ya PhD fake ni personal issue yake.Sio hao tu mzee, wengi wamekufa...hakuna duniani serikali ambayo haiui watu, hilo lipo kote. If you go against the govt unapotezwa, tangu kipindi cha Nyerere hadi Magu, hakuna ambaye hakupoteza wala kuumiza watu.
Huo ni unafiki ulitukuka,hakuna kutenganisha mazuri na mabaya hata shilingi ina pande mbili. Na hili ndilo alilowafundisha nyie mataga,muwe na kazi ya kumsifia tuu na kafa kawaachia huu ujinga wa kusifia tuu bila kukosoa.Kama tunakubaliana kuwa hakuna raisi duniani asiyepoteza watu, tuendelee kufurahia mazuri ya mwamba, tuachane na yale maovu yake, halafu tuzidi kuwa wazalendo.
Askofu mwamakula alifunga kwa maombi na kupigilia muhuri wa moto "wote watakaochezea sanduku la kura na Mungu awaadhibu."Utabiri unaendelea kutimia. Lema alikuwa mtu wa kwanza kumtabiria Magufuli haya Majanga hadi akawekwa ndani miezi4
Unachoongea ni sahihi lakini kuna watu wamekumbwa na kadhia direct hawa ni kuwaomba wasameheKama tunakubaliana kuwa hakuna raisi duniani asiyepoteza watu, tuendelee kufurahia mazuri ya mwamba, tuachane na yale maovu yake, halafu tuzidi kuwa wazalendo.
Naona munkari imepanda mkuu, wewe endeleza mabaya yake...mimi nachukua yaliyo mazuri, simple!Huo ni unafiki ulitukuka,hakuna kutenganisha mazuri na mabaya hata shilingi ina pande mbili. Na hili ndilo alilowafundisha nyie mataga,muwe na kazi ya kumsifia tuu na kafa kawaachia huu ujinga wa kusifia tuu bila kukosoa.
Huyu ni kirusi arudishwe chuoni akafundishe,uraia wake una shaka... Bashiru Ali Katibu Mkuu CCM (kiongozi mkubwa wa chama) kapewa ubalozi (majukumu ya kimataifa) then Katibu Mkuu Kiongozi. Kipengele hiki kimetimia pasi na shaka!
Huyu Bazazi alikuwa kansa ya umoja wa Taifa letu,jehanamu inamuhusu.Naona munkari imepanda mkuu, wewe endeleza mabaya yake...mimi nachukua yaliyo mazuri, simple!
NiajeHizi ngonjera zitaisha tu raisi wetu mpendwa mungu yu pamoja nawe wazushi wafitini mtaumbuka na sijui mtaficha wapi sura zenu sikuwahi fikilia Kama Tanzania tutafikia huku kumuombea raia namba moja mabaya hivi
Tatizo halipo maana wote tupo safari moja.Utabiri unaendelea kutimia. Lema alikuwa mtu wa kwanza kumtabiria Magufuli haya Majanga hadi akawekwa ndani miezi4
Poa vipi kwani kifo tumeumbiwa sisi binadamu Leo yeye kesho sisi Ila lawama nazipeleka kwa wale waliokuwa wanaongea uongo kuwa raisi yu bukheri wa afya kumbe ni mgonjwa daa nimeumia sanaNiaje
Maombolezo.Poa vipi kwani kifo tumeumbiwa sisi binadamu Leo yeye kesho sisi Ila lawama nazipeleka kwa wale waliokuwa wanaongea uongo kuwa raisi yu bukheri wa afya kumbe ni mgonjwa daa nimeumia sana
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye mgogoro wa kiafya. Na kwa mujibu wa nabii anawaona ccm wakiomboleza (maana yake ata-rest in peace.
3. Anaona ajali mbaya Zanzibar itakayohusisha mtu/kundi la watu itakayogharimu maisha ya kiongozi mkubwa.
4 . Anaona mgogoro mzito utakaosababisha mgawanyiko mkubwa Zanzibar.
5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.
Ni hayo tu niliyoweza kuyanyaka.
https://uc.xyz/MovvM?pub=link Share File