Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?

Your browser is not able to display this video.
 
Acha wanachukua chako mapema wakufe kabisa,kwani kama ni laana zimewaelemea hadi hata wote akina anayeweza kuzibeba.
 
Spinning tu hizo. Yaani kurudisha kadi mpaka kuna maandalizi?
 
La kuvunda halinaga ubani, mama yupo na mwigulu na mkewe wanadanganyana
Siku wakijakustuka ngoma inazama na mwigulu anaamua kuwachana na siasa
 
Wewe ndiye unajua spinning
Hamna wamakonde wa hivyo. Nakataa katakana. Kwanza unajuwa kuwa bei ya mbaazi kilo moja imepanda toka Tsh 500/= hadi Tsh 2,500/=?

Sasa mmakonde anaanzaje kumbeza Samia?
 
Hamna wamakonde wa hivyo. Nakataa katakana. Kwanza unajuwa kuwa bei ya mbaazi kilo moja imepanda toka Tsh 500/= hadi Tsh 2,500/=?

Sasa mmakonde anaanzaje kumbeza Samia?
Huna akili kabisa wewe mbwiga.
Yaani hiyo bei ya mbaazi imepandishwa na ccm au mama Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…