Wanakusini mmeanza kupata akili za juu hongera sana!Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.
Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini.
Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.
Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?
View attachment 2748164