Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?

View attachment 2748164
Asant Sana Watanzania, taratibu majizi tutayaondoa
 
Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?

View attachment 2748164

Mpaka 2025 , CCM mbombo ngafu!
 
Hakuna Rais hapo kuna ushungi tu,...
 
Back
Top Bottom