Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya ccm mikoa ya kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za ccm baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?View attachment 2748164
Halafu mama Abdul anasema Chadema inameguka, chawa wanamuongopea sana na yeye anaingia mzimamzima
 
Huna akili kabisa wewe mbwiga.
Yaani hiyo bei ya mbaazi imepandishwa na ccm au mama Samia?
Wewe huna unachojua kuhusu kilimo biashara, sera na mipango. Nguvu ya soko (supply & demand) ndiyo inapanga bei. Lakini ukiwa na sera kama za Magufuli korosho ilishuka bei kutoka Tsh 2,700/= kwa kilo mwaka 2018 hadi Tsh 1,800/=

Kama huoni nguvu ya sera za biashara zinazowekwa na Rais aliye kwenye madaraka, wewe ni kiazi mbatata
 
Stupid kabisa endeleeeni na elimu ya kuunga unga maana mpo tu kwa sababu mnaona kumekucha
 
Elimu zenu za jando ndiyo mtaji wa ccm kuendelea kutawala milele
 
Namuonea huruma sana mama wa watu kabisa.

Ukimtazama ana nia njema kabisa lkn shida ni walio mzunguka
Ukizunguka na mafisi unatarajia nini kama sio kuutafuta mti ambao mafisi hayawezi kuukwea.😂
 
😂😂😂 Hao Manamaa hicho kikao kilikuwa cha nini?

Asije sulubiwa au akatolewa kafara kwa mkutano Haramu.
 
Stupid kabisa endeleeeni na elimu ya kuunga unga maana mpo tu kwa sababu mnaona kumekucha
Kama hukusoma, walaumu wazazi wako, usiwaonee wivu waliosoma. Kiazi mbatata utakufa kwa wivu
 
Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya ccm mikoa ya kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za ccm baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?View attachment 2748164
This time chama kinafia jikoni baada ya kunusurika kwa mkwere
 
Uchaguzi ujao labda Mapolisi ndio wawapigie kura.
 
Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya ccm mikoa ya kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za ccm baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?View attachment 2748164
Mbona hili ni igizo kabisa, unarudisha kadi unabaki na jezi
 
Hamna wamakonde wa hivyo. Nakataa katakana. Kwanza unajuwa kuwa bei ya mbaazi kilo moja imepanda toka Tsh 500/= hadi Tsh 2,500/=?

Sasa mmakonde anaanzaje kumbeza Samia?
Kwani 2015, bei ya mbaazi kwa kilo ilikuwa kiasi gani? Na vipi bidhaa nyingine, tangu 2015 mpaka leo zimebakia na bei ile ile?
 
Wewe huna unachojua kuhusu kilimo biashara, sera na mipango. Nguvu ya soko (supply & demand) ndiyo inapanga bei. Lakini ukiwa na sera kama za Magufuli korosho ilishuka bei kutoka Tsh 2,700/= kwa kilo mwaka 2018 hadi Tsh 1,800/=

Kama huoni nguvu ya sera za biashara zinazowekwa na Rais aliye kwenye madaraka, wewe ni kiazi mbatata
tunasema hivi hata hiyo kilo ya mbaazi ifike 5,000/- tumewachoka hatuwataki CCM.
 
Ndiyo maana mama Abdul anatukana ovyo siku hizi chama kinamfia mikononi
 
Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.

Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini.

Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.

Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba unasubiri nini?

View attachment 2748164
Hicho chama si ndiyo kina wabunge wote nchi nzima?
 
Back
Top Bottom