Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

Wanakusini mmeanza kupata akili za juu hongera sana!
 
Napata faraja kubwa nikiona hivi. Unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa muda fulani lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote. Saa ya ukombozi ni sasa,naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
 
Ni dhahiri Samia hana washauri wazuri. Hili lilitegemewa hasa alipofanya kosa la kutamka kuwa amemfuta DC na DED kazi kwa kuwa wanachama wamerudisha kadi. Hapo watu wakajua weakness yake. Hizi tunaita ajali za kisiasa. Mtu ukiwa mbele ya umma, lazima uwe mwangalifu na maneno au vitendo vyako. Ilikuwa ajali kama ajali nyinginezo, washauri wake akina Luhwavi ambao wamebobea katika siasa waangalie vitu kama hivi siku za usoni.
 
Kama hali ndiyo hii basi CCM by by Nachingwea. Lipumba wahii tenda hapo.
 


MAIGIZO YA CHADEMA YA KURUDISHA KADI NAONA YANAZIDI KUPAMBA MOTO NI AKILI MBOVU NA ZA KITOTO MNO AMBAZO HAZITUSTUI SISI WAKONGWE WA SIASA ABADANI.
AU NA CCM WAANZE KUFANYA MAIGIZO LAKINI HUU NI UTOTO!
 
MAIGIZO YA CHADEMA YA KURUDISHA KADI NAONA YANAZIDI KUPAMBA MOTO NI AKILI MBOVU NA ZA KITOTO MNO AMBAZO HAZITUSTUI SISI WAKONGWE WA SIASA ABADANI.
AU NA CCM WAANZE KUFANYA MAIGIZO LAKINI HUU NI UTOTO!
Tulisha kudharau kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…