Mpendwa bila shaka ubuheri, hiyo ni ishara yakuwa wapendwa na jamii!! Anapo toka mtu huko aje kukusalimia na kukupa mkono huo niuungwana na heshima kwako, pili zaidi ni kujenga upendo baina yenu tatu ni kuongeza power ya wema na msamaha pamoja. Kama umenawa siutumie kijiko na uma au ukanawe tena?Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?
Wasukuma wanazo hizo sana.
Mpendwa bila shaka ubuheri, hiyo ni ishara yakuwa wapendwa na jamii!! Anapo toka mtu huko aje kukusalimia na kukupa mkono huo niuungwana na heshima kwako, pili zaidi ni kujenga upendo baina yenu tatu ni kuongeza power ya wema na msamaha pamoja. Kama umenawa siutumie kijiko na uma au ukanawe tena? Angalia usiingiwe na kiburi au kujiona huo mtindo utakupeleka mbali na kuktenga kijamii. kupeeana mkono ni utamaduni wa huku kwetu.!!
Good luck

Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?

Uungwana sawa sijakataa..but kuna suala la Afya nitajuaje kama hujatoka kujisaidia na hujanawa vizuri?why kupena bacteria?huo ni ubinafsi suio wa lazime toka karne kwa karne watu waliona ni uungwana na kujenga umoja kuslimiana kwa mikono so ukweli ni kwamba kusalimiana kwa mikono ndio the best practise ktk kujenga udugu... its ok sio wote wanaona hata kinachoonekana kwa wengi ni kizuri kwao pia kizuri ila as advice anza kujifunza kuona ni jambo la kiungwana!!!!!
Kweli hizi shule za kata noma!
Ndo mana UTI haziishi.
pointless...hao unaokataa kuwapa mkono leo,kesho ndo watakao libeba jeneza lako kwa hiyo mikono unayoikataa leo..."tafakari"...
Kwani ukisalimiwa kwa kupeana mikono unapungukiwa na kitu gani?, acha kujiona u msafi sana wewe!
we nijinsia gani?
si lazima uwape mkono unaweza hakikisha kiganja hawagusi unawapa arm kiaina..