Nachukia kusalimiwa kwa kushikwa mikono!!!shaking hands

wahamiaji haram wanatuharibia tamaduni zetu
 
Kupeana mikono, kuna punguza nguvu ( internal power ), cha msingi kuangalia na watu wa kupeana nao mikono.
 

Huo ndo utamaduni wa walio wengi duniani na usitegemee kuisha siku za karibuni,
 
Ukifuatilia sana utakuta we ni mshirikina na una imani kali sana za kishirikina.... pole sana
 
Mbona umeingia kishari nami nimeongelea nafsi yangu?i cant be you and you cant be me..kuna maudhi ambayo unaweza ukayapata while mi yasinisumbue kabisa..binadamu hatuko sawa
Mpendwa Chem, vipi leo ? au huoni vizuri au waona vuguvugu hivi? Soma comment yangu uanzie juu hukona nakusilimu mwanzo na kukuweka katika hadhi poa? Afu wasema naingia kwa shari !! ulihisi nakurepu nini? Yonekana unaiga ya wengine yako huyajui..... Kweli binaadamu hatuko sawa !!
 
Kupeana mikono ni jambo la kiungwana, hasa waungwana wanapokutana. waungwa wakitofautiana, humaliza tofauti zao kwa kupeana mikono, hata timu za mpira wa miguu husalimiana kwa kupeana mikono. kama mtu unaogopa kupeana mkono na mtu mwenzio, kwa kuogopa maambukizo, je yale ya kwanjia hewa? Usije zani kupeana mikono ni tabia ya wasiotaarabika, hata waliostarabika husalimiana kwa kupeana mikono.
 
Mbona umeingia kishari nami nimeongelea nafsi yangu?i cant be you and you cant be me..kuna maudhi ambayo unaweza ukayapata while mi yasinisumbue kabisa..binadamu hatuko sawa

Sasa kama ulikuwa hutaki uambiwe ukweli umeleta hoja ya nini?si ungewaambia hao wanaokupa mkono in person kama hupendi kupeana mikono?hizi ni tamaduni na ustaarabu wetu waswahili kama wewe una ustaaarabu wenu wa "mambo vipi,shwari "huku mkipeana ishara ya dole gumba au ngumi kivyako ,lakiniukikutana na mpwanipwani mie nitakupa mkono ukijihashua nakuwasha kibao ukahashukwe mbele ya safari!
 
Mwenyewe huwaga sipendi, afu unakutana na mkono una unyevunyevu fulani ,yaani huwa nahisi kama roho inanitoka vile !!
 
Mwenyewe huwaga sipendi, afu unakutana na mkono una unyevunyevu fulani ,yaani huwa nahisi kama roho inanitoka vile !!

Ha ha ha ha u made my day ha ha ha jameni kha?! Watu mnamaneno mweeehh
 

huu ni upu.......aaagh
 

Attachments

  • Wapinda.jpg
    5.4 KB · Views: 192

Ndo maana watoto wa kihuni huwa wanasalimiana kwa kupeana tano, mikono mingine michafu, wanataka kukupaka nuksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…