Nachukia kusalimiwa kwa kushikwa mikono!!!shaking hands

aliyetoa hii post nawaswas nae na uwezo wake wa kufikiri, kushikana mkono ni uungwana na ni utamaduni dunia nzima. hata wakuu wa nchi zoote hufanya hivyo ije wewe unayeishi kajamba nani!!!???
watu wengine bana.....
 
...hao unaokataa kuwapa mkono leo,kesho ndo watakao libeba jeneza lako kwa hiyo mikono unayoikataa leo..."TAFAKARI"...

sabung'ori umeongea kitu cha maana mno!!!!!kwan uchafu wa mikononi anaweza kuufananisha na jinsi huyu mtoa thread anacho kifanya kule maliwaatoni?mbona anashka kinyesi kwa mkono wake?mbona anailamba ile papuchi ya demu wake a.k.a. deep see au chumvini?huyu tumtupe kule---hana adabu za kiafrica---haya ndo madhara ya elimu ya kikoloni
 

ni kweli huyu mtu anaonekana ni mbinafsi, kama ni mkristo atashindwa kuwapa mkono waumini wenzako mara baada ya kumaliza kuabudu kanisani
 
pata picha unampa mkono mwanachama wa CHAPUTA

Mwanachama wa CHAPUTA hutumia mkono wa kushoto ktk kutimiza majukumu yake ya kichama, na ktk salamu mkono unaotumika ni wa kulia hivyo usiogope kumpa mkono mwanaCPT!
 

kupeana mikono ni kuonesha jinsi mnavyopendana na kuheshimiana a cha kiburi cha uzima Dogo siku ukiugua mikono unayoikataa ndo itakayokugeuza kitandani pako na wala si mdomo
 
Mbona umeingia kishari nami nimeongelea nafsi yangu?i cant be you and you cant be me..kuna maudhi ambayo unaweza ukayapata while mi yasinisumbue kabisa..binadamu hatuko sawa

Sijaona ushari wa post ya life is Short ! Unapoanzisha thread si lazima watu wote wakubaliane na hoja yako, kama suala ni la nafsi yako sioni hata umuhimu wa kulileta hapa, kitendo cha wewe kupost hapa obviously unahitaji kusikia wengine wanasemaje! KWANI KUNA MTU ANAKULAZIMISHA KUKUSHIKA MKONO?..TELL THEM IN THE FACE KWAMBA "SIHITAJI MKONO WAKO" Hakuna mtu atakusumbua tena na kijimkono chake, sasa wewe kuleta thread JF kisa watu wanakusalimia kwa kukushika mkono hauoni kuwa ni kitu low sana! Binafsi huwa sinyooshi mkono kumuanza mtu, labda kama ni jamaa yangu wa karibu hatujaonana siku kadhaa, au tushikane mikono kuonesha kukubaliana jambo la msingi! Lakini mtu akinipa mkono siwezi kuuukataa na kujifanya eti naenda koridoni kula kashata, kwani hivyo vtasa utavifungua kwa kutumia matakoo?
 
Last edited by a moderator:
Dah!..yaani wanadamu ndio tumefikia huku..bila huyu mtoa mada ni mdada...maana wengi wao ndio wapo hivyo..
 
"School make people more foolish and hospital make people more seek" shake hands ndo utamadun wetu tena wenye maana tangu jadi elimu zetu wala zisitubadili mawazo kwa kuacha yalo na muhimu. Kushikana mikono huashiria upendo, amani, heshima na umoja ila kwa nyie "wasafi" huenda ikawa "uchafu".
 
Mbona umeingia kishari nami nimeongelea nafsi yangu?i cant be you and you cant be me..kuna maudhi ambayo unaweza ukayapata while mi yasinisumbue kabisa..binadamu hatuko sawa

inaonekana siku hiz umepata hela sana; so high class, hutaki wakushike mkono coz ni kama wanajipendekeza; au,
 
Nimeipenda hyo huyu jamaa cjui wa wap. Hutak kushkana mikono c uikate au ficha unaposalimiana na mtu ndo mashauz yenyew hayo tena tabia za watoto wa kike hzo!
 
Si uwaambie tu hupendi?

Au vaa gloves kama Malkia Elizabeth II.
 
hata mm cpendi ila ni uhungwana wa ki tz...
thats why masela/vijana wanatoa tano aka gwala maana wameliona hilo..
 
Wanawake wengi hasa wa dini ileee ya uninja ndio hawapendi hii kitu.

Vitu vingi ambavyo vilikuwa ni tamaduni zetu zinazidi kupotea, na tunakaribisha new customs sawa tu lakini
 
Kama hutaki akikusalimia mtu mpe sehemu ya baada ya kiganja na kama kweli say umetoka kunawa pozi za mikono zitaonekana tu so hakuna atakayekuona wa ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…