Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?

Ukifuatilia sana utakuta we ni mshirikina na una imani kali sana za kishirikina.... pole sana
MMh kama nakuona vileSasa kama ulikuwa hutaki uambiwe ukweli umeleta hoja ya nini?si ungewaambia hao wanaokupa mkono in person kama hupendi kupeana mikono?hizi ni tamaduni na ustaarabu wetu waswahili kama wewe una ustaaarabu wenu wa "mambo vipi,shwari "huku mkipeana ishara ya dole gumba au ngumi kivyako ,lakiniukikutana na mpwanipwani mie nitakupa mkono ukijihashua nakuwasha kibao ukahashukwe mbele ya safari!
Mtoa mada bila shaka ni wa kike, handshake ni upendo tu hakuna jingine kama hutaki unawaambia au vaa gloves,
Unajiona msaafi.
Na kwa hapa Tanzania kulivyokuwapo na upungufu wa MAJI, kupeana mikono kunaeneza sana magonjwa!
Cheki ni watu wangapi wanaokubaliana nawewe na ni wangapi wanaopaingana nawe. Kisha ukiona wangi wanakubaliana nawe tambua kuwa kuna point kwenye ulicholeta hapa JF na ukiona wengi hawakubaliani nawe, tambua kuwa umeleta issue isiyokuwa na tija hapa JF.
Binafsi sioni kama kuna point yoyote katika hilo. Uzuzu wako na ulimbukeni ndio vinafanya kichwani kuchemke na kuibuka na hoja za ajabu!!
Mtoa mada na wale aina ya watu ambao wameenda shule lakini hawajaelimika !
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwanza wengine hasa wanaume hupenda kujisaidia haja ndogo hovyo njiani na wanapojisaidia hushikilia "mi-dushelele" yao kwa mikono na hawanawi mikono ng'oo..kwakweli mjirekebishe mnatuboa sn na nyie wanaume ndio mnaoongoza kwa kupenda salamu za ku-shake hands, LOL!!Jamani waTanzania wenzangu hivi ni lazima mtu akusalimie akushike mkono?ndo adabu ama?sometimes ushanawa unajiandaa ukale kitu koridoni ofisini tayari ushakutana na mtu na mkono katoa nikusalimie tafadhali.mara upo?kwema?kwani ungenisalimia bila kunipa mkono sitaelewa ?au mkono ndo unaonyesha nidhamu sana?
Upo sahihi kabisa, ni kawaida dunia nzima except kwa wale ambao wanaojisikia, kujiona bora na wasafi sana,Sasa kama ulikuwa hutaki uambiwe ukweli umeleta hoja ya nini?si ungewaambia hao wanaokupa mkono in person kama hupendi kupeana mikono?hizi ni tamaduni na ustaarabu wetu waswahili kama wewe una ustaaarabu wenu wa "mambo vipi,shwari "huku mkipeana ishara ya dole gumba au ngumi kivyako ,lakiniukikutana na mpwanipwani mie nitakupa mkono ukijihashua nakuwasha kibao ukahashukwe mbele ya safari!
Kwanza wengine hasa wanaume hupenda kujisaidia haja ndogo hovyo njiani na wanapojisaidia hushikilia "mi-dushelele" yao kwa mikono na hawanawi mikono ng'oo..kwakweli mjirekebishe mnatuboa sn na nyie wanaume ndio mnaoongoza kwa kupenda salamu za ku-shake hands, LOL!!
Swadakta !!, Mkuu na kupongeza kwa "dhati "Sijaona ushari wa post ya life is Short ! Unapoanzisha thread si lazima watu wote wakubaliane na hoja yako, kama suala ni la nafsi yako sioni hata umuhimu wa kulileta hapa, kitendo cha wewe kupost hapa obviously unahitaji kusikia wengine wanasemaje! KWANI KUNA MTU ANAKULAZIMISHA KUKUSHIKA MKONO?..TELL THEM IN THE FACE KWAMBA "SIHITAJI MKONO WAKO" Hakuna mtu atakusumbua tena na kijimkono chake, sasa wewe kuleta thread JF kisa watu wanakusalimia kwa kukushika mkono hauoni kuwa ni kitu low sana! Binafsi huwa sinyooshi mkono kumuanza mtu, labda kama ni jamaa yangu wa karibu hatujaonana siku kadhaa, au tushikane mikono kuonesha kukubaliana jambo la msingi! Lakini mtu akinipa mkono siwezi kuuukataa na kujifanya eti naenda koridoni kula kashata, kwani hivyo vtasa utavifungua kwa kutumia matakoo?