Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Oya! Mimi nakuja kupiga menu, sio kufuata ushauri wako wa lishe au afya na kutishana kibwege.
Kama ni chai au maziwa acha niweke sukari ninavyojisikia. Sio malalamiko kama nakula bure. I hate hii kitu kabisa kabisa.
Kama nikitaka ushauri wa Afya au lishe nitaenda kwa wataalamu sio nakula chakula napangiwa.
Everyone picks the poison anayoona inafaa, kuna watu wanapenda pombe, sigara, vyupi, nk. Mimi napenda sukari.
Yaani nikinunua chai au maziwa kwako ukanipangia sukari, jua siji tena kwako.