Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.Oya! Mimi nakuja kupiga menu, sio kufuata ushauri wako wa lishe au afya na kutishana kibwege.
Kama ni chai au maziwa acha niweke sukari ninavyojisikia. Sio malalamiko kama nakula bure. I hate hii kitu kabisa kabisa.
Kama nikitaka ushauri wa Afya au lishe nitaenda kwa wataalamu sio nakula chakula napangiwa.
Everyone picks the poison anayoona inafaa, kuna watu wanapenda pombe, sigara, vyupi, nk. Mimi napenda sukari.
Yaani nikinunua chai au maziwa kwako ukanipangia sukari, jua siji tena kwako.
Hujui madhara ya sukari ndio sababu umediriki kuja kushare ujinga wako hadharani.
Na kama unapenda sukari nunuwa sukari yako ujaze unavyotaka hakuna atakayekupangia.
Hata sisi wapenzi wa kachumbari tukienda kula mdudu tunanunuwa viungo vyetu tunakatiwa kachumbari vile sisi tunataka.