Nachukia sana wauza chakula wanaoleta utaalamu wa afya kwenye menu yangu

Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.

Hujui madhara ya sukari ndio sababu umediriki kuja kushare ujinga wako hadharani.

Na kama unapenda sukari nunuwa sukari yako ujaze unavyotaka hakuna atakayekupangia.

Hata sisi wapenzi wa kachumbari tukienda kula mdudu tunanunuwa viungo vyetu tunakatiwa kachumbari vile sisi tunataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…