Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mwingine anaangalia kama mazingira yanaruhusu , akupelekee moto wa fasta fasta.Yani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.