jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwahiyo mama junia umeamua kuja kusemea huku..anyway tambua nimeishi sana geto nikijipikia..so hua nakuja kukumbushia sema hujuagi tu.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali alijibu mpendwa wetu😅😅😅Samahani mkuu, eti umeshaoa?
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Nakuja jikoni kukuhug from behind na kukubusu shingoni kidogo tu ndiyo unachafukwa na roho namna hii jamani??
Kasema wanaume wanaopenda... Huyo Malaya aseme mpaka Sasa wanaume wangapi anawapikia.Huna mahaba wewe kwa mmeo.
Sizani kama anaweza hata muonjesha Mumewe ampe majibu ya Chumvi kama imekolea!!Hauko romantic!
Amkeni
Kula Tano MkuuMuda ndiyo umeisha wa mshike mshike viwanjani ,kwa muda wote mlikuwa nami omary katanga.
Niliishi na dada wa kizungu masomoni UKKweli? Unanidanganya.
Hayo yote umeyajuaaje.?
Wewe utakuwa ni dizaini ile ya Wanawake ambao Mwanaume ukinunua kilo moja ya nyama basi robo nzima anaimaliza kwa kuonja,Sasa unaogopa Mwanaume kuja jikoni kwasababu hiyo,Km sivyo basi Wewe sio msafi ktk mapishi au Mzee wa limbwata.Prove me wrong.Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Nn kuchungulia bwana!! mm kama nayaelewa mapishi nakuja kuonja kabisa huko huku na kama umevaa kihasara hasara nakupiga machine kabisa huku mboga inatokota jikoniYaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.