Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mwingine anaangalia kama mazingira yanaruhusu , akupelekee moto wa fasta fasta.Yani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
inaoneka umekuwa na wanaume wengi tofaut tofautiYani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Itakuwa umeolewa na Chef[emoji16][emoji3]Yani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Wanaume wa kisasa sisi shem. Tunakufulia mpaka chupi ukiumwa.Yani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Samahani mkuu, eti umeshaoa?Wanaume wa kisasa sisi shem. Tunakufulia mpaka chupi ukiumwa. Kila kitu 50-50. Haina haja ya mama mkwe au dada zako kuja kusaidia kama kuna majanga. Uko kazini umechelewa job tunapika. Kazi za ndani tunasaidiana. Haina haja hata ya housegirl. Ukinyonyesha tunapika na usafi wote. Mtoto akilia usiku tunapeana zamu. Ukisema kichwa chakuuma hatukupi show, tunakupeti peti. Kila mwezi au hata wiki kama senti zipo twatoka out.
Kama hutuwezi pole. Tutafutie pisi kali inayoweza hayo mahaba niuwe…
Bado dadaSamahani mkuu, eti umeshaoa?
KaribuSamahani mkuu, eti umeshaoa?
Mimi sipendi kupita jikoni maana ukipita tuu utasikia naomba maji kwenye kikombe!Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Huyo kimbaombao tako atoe wapi?Nichukie tu, wali maharage ya nazi unavyonukiaga vizuri nikiwa sebuleni na ile njaa lazima nije jikoni kuulizia huku nalichapa kofi tako lako.