Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Nakupa talaka moja kwa kosa la utovu wa nidhamu kwa kunianika huku. Zoezi hili litakamilika mara moja leo hii baada ya mimi kurudi.
 
Nimekupa "like" Tano pls
 


Mosi, haujiamini. Kumaanisha Kupika hujui au umejifunza ukubwani.

Pili, Humpendi.

Majibu yote mawili ni Kweli. Usiniulize nimejuaje.
 
Muda mwingine watu wanacomplicate maisha.Akiingia jikoni unapungukiwa nini.Kodi alipe yeye na pakuingia napo unampangia mashart kila kona hadi chumbani.Akienda kwa mchepuko huko yupo nae jikoni akija kwako anakukodolea tu macho

Niamini hajui Kupika.

Pili, hampendi.

Niamini Mkuu.

Mwanamke anayekupenda anavyofurahia uwe naye sehemu Kama hizo huku akikuonjesha vikaroti mkisaidizana kukata vitunguu
 
Mwanamke mswahili kweli huyu.Modern living jiko ,ukumbini ,dining ni space moja/havijatenganishwa na kuta. Mke anetengeza chakula anatazama Tv , mnapiga story ,pembeni watoto wanafanya homework.
 

Amin

Mtoa mada Hajui Kupika, hajiamini.

Pili, ameolewa au aniashi na Mwanaume asiyempenda ndio mana anamuona Kero.

Hawa ndio Wale wanawake wanatamani uchelewe Kurudi kazini au usirudi nyumbani kabisa
 
Basi kama ndio hao wapigwe tu
 
Mwanaume kama huyo nikiishi nae nampa ngumi za kutosha
 
Wanawake wengine wezi wa vipande vya Nyama....
Bora hata awe mwizi wa nyama ila type hii ni wale wanaoweka uchafu waliopewa na waganga wao wa kienyeji kwenye misosi, ndio maana anakua mkali kwelikweli mwanaume anapoingia jikoni.
 
Niamini hajui Kupika.

Pili, hampendi.

Niamini Mkuu.

Mwanamke anayekupenda anavyofurahia uwe naye sehemu Kama hizo huku akikuonjesha vikaroti mkisaidizana kukata vitunguu
Wanawake wanaotegemea ndumba na kuweka malimbwata kwenye msosi hua hawapendi kufatwafatwa jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…