Ni kama tu wanavyochukizwa wale wengine pale mnapomsifia huyo Rais wenu kupitiliza. Kwa hiyo unatakiwa kuwa tu mpole. Au unataka na wenyewe muwateke na kwenda kuwatupa kule Katavi?Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell
utapasuka moyo bure. kuna nchi walishawahi kutokea watu kama hawa hawa, kumbe ni mapandikizi yaliyotumwa na namba moja mwenyewe kuzugisha watu, wajinga wanajiunga nao kumbe wenzao jioni wanakaa kikao na kunywa supu pamoja, ila mchana wanajifanya maadui. Israel inatumia sana mbinu hii. nani alijua msigwa atakuja siku moja kuwa ccm na kuahidi kuanika mabaya ya chadema nchi nzima? hamjazijua siasa hadi leo?Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell
🚮🚮Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell
Kwahiyo demokrasia ya kupora chaguzi ndio inawakilisha mila na desturi zetu?Achana naye, huyo hana adabu. Wenyewe wanafikiri kutukana ndiyo kushauri. Lkn pia wanafikiri demokrasia ya magharibi ndiyo demokrasia ya ulimwengu (universal democracy), kumbe demokrasia zinajengwa katika misingi ya mila na desturi. Demokrasia ambayo haisadifu mila na desturi zetu, hiyo ni demokrasia ya kughushi au demokrasia mnemba (artificial democracy). Muda wowote tutegemee mtikisiko na mporomoko wa kijamii.
CC: Salary Slip
CC: Crimea
Kwahiyo demokrasia ya kupora chaguzi ndio inawakilisha mila na desturi zetu?
ID yako inaonesha Ina chura kiziwiNiwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell
Ni kweli, mnajiliza kwa kutaka heshima msizostahili, wakati mnaingia madarakani kwa njia za kishenzi.Hayo na wewe ni maoni yako.
Ule uchaguzi wa chadema umeuona mkuuTanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama unasubiri uchaguzi subiri na hao majizi wenzio wa kura, lakini sisi wengine tunajua uchaguzi wetu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Sio wa kipuuzi kama ule wa 2020.Ule uchaguzi wa chadema umeuona mkuu
Mkuu unaweza kutuwekea hayo matusi hapa ili na sisi tuyaone?Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell
Mnhh..aisee...naona watu mnaandamana mitandaoni...”huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia"
Kama ni mkuu basi ni mkuu wako wewe usiweke wingi ukanijumlisha kwenye huo ujinga.
😄😄👌Acha kujipa umuhimu usiokuwa nao, unajifanya kumpenda Rais , wakati ana watoto wake wakumpenda. Kampende ndugu yako acha kujikomba.
Mimi huwa silembi mwandiko ili nisome imla, kantafute X kwa ID hiihii! JITU BANDIA niko hapa Mnazi mmoja,Lindi, Njoo! Kbaaabako!Fake ID inakupa ujasiri huu