Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
Ni kama tu wanavyochukizwa wale wengine pale mnapomsifia huyo Rais wenu kupitiliza. Kwa hiyo unatakiwa kuwa tu mpole. Au unataka na wenyewe muwateke na kwenda kuwatupa kule Katavi?
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
utapasuka moyo bure. kuna nchi walishawahi kutokea watu kama hawa hawa, kumbe ni mapandikizi yaliyotumwa na namba moja mwenyewe kuzugisha watu, wajinga wanajiunga nao kumbe wenzao jioni wanakaa kikao na kunywa supu pamoja, ila mchana wanajifanya maadui. Israel inatumia sana mbinu hii. nani alijua msigwa atakuja siku moja kuwa ccm na kuahidi kuanika mabaya ya chadema nchi nzima? hamjazijua siasa hadi leo?
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
🚮🚮
 
Achana naye, huyo hana adabu. Wenyewe wanafikiri kutukana ndiyo kushauri. Lkn pia wanafikiri demokrasia ya magharibi ndiyo demokrasia ya ulimwengu (universal democracy), kumbe demokrasia zinajengwa katika misingi ya mila na desturi. Demokrasia ambayo haisadifu mila na desturi zetu, hiyo ni demokrasia ya kughushi au demokrasia mnemba (artificial democracy). Muda wowote tutegemee mtikisiko na mporomoko wa kijamii.
CC: Salary Slip
CC: Crimea
Kwahiyo demokrasia ya kupora chaguzi ndio inawakilisha mila na desturi zetu?
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
ID yako inaonesha Ina chura kiziwi
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama unasubiri uchaguzi subiri na hao majizi wenzio wa kura, lakini sisi wengine tunajua uchaguzi wetu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Ule uchaguzi wa chadema umeuona mkuu
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
Mkuu unaweza kutuwekea hayo matusi hapa ili na sisi tuyaone?
 
”huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia"

Kama ni mkuu basi ni mkuu wako wewe usiweke wingi ukanijumlisha kwenye huo ujinga.
Mnhh..aisee...naona watu mnaandamana mitandaoni...
🙆🙆🙆
 
Jikite kuona TATIZO..ACHANA na MATOKEO ya TATIZO. ama elimu yako nitofauti Naya wengine, au lengo lako nitofauti na la mwingine...ukiwa neutral katika kutatua Jambo zito. ...utapata mawazo Boro zaidi. Ona sasa wachangiaji wanaona wewe ndo TATIZO wameachana na HOJA yako. Jifunze zaidi kuona TATIZO utakuwa kiongoz Bora Kwa JAMII zaidi ya ulipo Leo kibusara.
IMG-20240702-WA0004(1).jpg
 
Ukitaka kuwaona hao jamaa ni wajinga. Hizo kauli wanazozitoa kwa upande wa pili zitumie wewe viongozi wao wanapokosea watakushambulia vibaya mno.

Lugha hizo ni nzuri na sahihi kama wakizitoa wao na kuna wajinga kibao tu watawaunga mkono kwa kutoa lugha chafu.
 
Back
Top Bottom