Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

Hawaelewi kuwa Urais wa Tanzania ni taasisi.
 
Mpumbavu sana wewe!

Kuongea ukweli ni matusi?

Mwambie chura kiziwi awe smart nchi inaingia shimoni
Shimo gani inaingia? Maana toka umeanza kusema kauli ya nchi kuingia shimoni ni miaka 3 sasa?
 
Sasa mbona hujaweka hayo matusi hapa tujadil!
 
Heri babako angepiga puchu. Huna msaada wowote kwenye jamii.

Kenya hapa tu ruto Kila Leo anazondolewa huko USA ndo usiseme trump kashawahi tengenezwa katuni iliyokatwa kichwa na kama isitoshe ilitengenezwa sanamu akiwa uchi na watu wanachezea dudu ake.

Mwambie hatuwezi kumpenda wote Nyumbu wewe
 
Huyo inawezekana watu walikutana kichakani wakafanya production ndo ndulute kama hizi zinapatikanašŸ˜Ž
Hivyo viumbe kwa hapa Tanzania utakuta vinafyatuliwa kwenye mikesha ya mwenge na kwa bahati mbaya vimetapakaa nchini kama siafu. Kwao kila anayewazidi umri anaweza kuwa baba/mama.
 
Maranja anajionaga ana mwili wa chuma.

Boni hajui kwamba pale ubungo aliendesha genge la kuibia halmashauri ya ubungo, na inajulikana
 
Chura kiziwi hawezi jibu hoja labda tujaribu kumtukana wenda akatoa neno japo la Shali
 
Hao jamaa waongezewe ulinzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…