Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo?Hawaelewi kuwa Urais wa Tanzania ni taasisi.
Waelimishwe.Kwa hiyo?
Labda anajisikia uvivuWapeleke mahakamani sheria si zipo ndugu .
Shimo gani inaingia? Maana toka umeanza kusema kauli ya nchi kuingia shimoni ni miaka 3 sasa?Mpumbavu sana wewe!
Kuongea ukweli ni matusi?
Mwambie chura kiziwi awe smart nchi inaingia shimoni
Sasa mbona hujaweka hayo matusi hapa tujadil!Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell
Hivyo viumbe kwa hapa Tanzania utakuta vinafyatuliwa kwenye mikesha ya mwenge na kwa bahati mbaya vimetapakaa nchini kama siafu. Kwao kila anayewazidi umri anaweza kuwa baba/mama.Huyo inawezekana watu walikutana kichakani wakafanya production ndo ndulute kama hizi zinapatikana😎
Wewe ni mlamba matako ya chura kiziwi huwezi kuonaShimo gani inaingia? Maana toka umeanza kusema kauli ya nchi kuingia shimoni ni miaka 3 sasa?
Na wewe mlamba pu-mbu za marehemuWewe ni mlamba matako ya chura kiziwi huwezi kuona