Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

Wamekosaa Sana adabu, Hawa dawa yao ni kwenye uchaguzi tu, wanatuumiza Sana wanapokosa adabu kwa viongozi wetu
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni..
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell

..kuwa mwanaharakati sio kosa.

..Raisi Samia aliwahi kusema kwamba kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa mwanaharakati.

..binafsi nilitegemea ktk awamu ya Rais Samia wanaharakati wangestawi, badala ya kushutumiwa na kuwindwa.
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni..
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
Kuingia madarakani kwa kunajisi chaguzi za nchi ni zaidi ya haya unayoita matusi. Sioni ni kwa jinsi gani kiongozi anayeingia madakani kwa kupora uchaguzi unataka aheshimiwe.
 
Wamekosaa Sana adabu, Hawa dawa yao ni kwenye uchaguzi tu, wanatuumiza Sana wanapokosa adabu kwa viongozi wetu
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama unasubiri uchaguzi subiri na hao majizi wenzio wa kura, lakini sisi wengine tunajua uchaguzi wetu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni..
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
Una hasira sana nenda kapigane
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
Raisi anafanya tukio alafu anajifanya muungwana
 
Wakuu mnahasiraa sanaaa 😂😂……. Mpaka mnabubujikwa na machoziii 😂😂
 
Inapaswa vijana kuungana na kuwatia viboko. Tuwasake mmoja mmoja
 
Achana naye, huyo hana adabu. Wenyewe wanafikiri kutukana ndiyo kushauri. Lkn pia wanafikiri demokrasia ya magharibi ndiyo demokrasia ya ulimwengu (universal democracy), kumbe demokrasia zinajengwa katika misingi ya mila na desturi. Demokrasia ambayo haisadifu mila na desturi zetu, hiyo ni demokrasia ya kughushi au demokrasia mnemba (artificial democracy). Muda wowote tutegemee mtikisiko na mporomoko wa kijamii.
CC: Salary Slip
CC: Crimea
 
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia

Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara

Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais

Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu

Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?

Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?

Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?

Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?

Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.

Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?

Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..

Time will tell
tuwekee matusi walotukana vinginevyo weww ndo unaemtukana indirect
 
Tusi liko wapi?

Watu wamejenga hoja kwanini Edgar amepotea siku 3 serikali ilikuwa kimya hakuna uchunguzi wala kauli huku watumiaji wa X ambao ni raia walikuwa wakipaza sauti .

Leo Edgar kapatikana rais anaibuka na kusema atachangia matibabu vipi kuhusu watekaji na mbona haikutolewa kauli tangu kalazwa Katavi hadi kusafirishwa kwa air ambulance?

Mleta mada nina wasiwasi wewe kama sio mmoja wa genge la watekaji basi ni wale ambao michango yenu ilirudishwa baada ya familia ya Edgar kuikataa.
 
Siamini kama nchi hii Bado tunapaswa kuogopa kukemea , kukashfu na ikibidi kutukana juu ya watawala wabovu,
Hata kama Urais ni taasisi lakini Kwa mwendo mbovu ambao serikali na watawala wetu wanaenda nao ni dhahiri kuwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii hawezi kutamani kuendelea kuongozwa na serikali ya mama otherwise ni mwizi na mfujaji mwenzao
 
Back
Top Bottom