Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Asilimia kubwa niwatoto wa nje ya ndoa ndio wanapelekwa huko. Yan mwanamke ameamua kuwa singo mother afu anapeleka mtoto kwa bibi yake. Unakuta mwanamke hana kipato chochote kinachoeleweka anamchekea msela anadunga mimba anapita hivi🤣 wanawake wengi wanazaa hovyo na watu wasioeleweka mwisho waanachiwa mzigo ambao unakuwa mzigo pia kwa wazazi wao
 
Sijawahi hata kuwaza kumpelekea. Wanaenda kusalimia wanaondoka.. hata mimi sitakubali kulea mjukuu labda kama kuna sababu muhimu sana itakayonilazimu
Labda usiwe na watoto wakike , ukiwa nao nilazima utalea mjukuu🤣
 
Sijawahi hata kuwaza kumpelekea. Wanaenda kusalimia wanaondoka.. hata mimi sitakubali kulea mjukuu labda kama kuna sababu muhimu sana itakayonilazimu
Sasa hawa wengine hawapendi kabisa kulea
 
Hii kitu inabidi itokomezwe
 
C
Changamoto hii inawapa waliooa:-
1.wanawake wasomi
2.Wanawake wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…