qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
oh my dear god kumbe waweza bishana humu na mwanao?
Hata mjukuu wako pia ila muhimu ni kuwa huo utaratibu walisha wahi jaribu hapo nyuma wakauacha na kurudisha tena mwaka jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oh my dear god kumbe waweza bishana humu na mwanao?
Woga kwa nani hapo.
Hebu nipe athari hasi za kuweka matokeo public.
Sasa hv mtu yuko mtwara na wewe uko musoma anakucheki tu Kama umezingusha
Zaman ilikua hadi uende mkoani au shuleni alikofanyia mtu
Leo hii watu wanazodoa sana pindi mtu akifanya vibaya
Mfano mtoto wa mkulu
Ha!ha. Yaani hawa NECTA wamewapa advantage sana vijana wasumbufu. Yaani me dogo ilikua daily simu mara bro hivi mara bro vilee. Sasa kwa nini kwenye matokeo anagoma kuleta info kamili? Anyway huenda kapata shock kutokana na matokeo mazuri sana au mabaya sana.
Kuzodolewa pia ni changamoto kwa vijana kujituma. We huoni huu utaratibu umeleta zero nyingi sana maana vijana hawapati vijembe kabisa mtaani.
Unaweza kumjibu hivi mzazi au mlezi?
Nakujjibu wewe,siwezi mdanganya mzazi wangu hata siku moja kuhusu matokeo yangu kwan ntakua najidanganya mwenyewe