Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

No ni poa sana kwan kuweka majina ya watu sio poa,tukumbuke enzi zetu mambo yalikua tofaut na sasa
 
Yeah kale kamepiga picha kanabusu midoli..zilikuwepo jf picha zk

Basi mkulu amewanyima haki wazazi na walezi wa Tz kufahamu matokeo ya vijana wao bila kuwashirikisha vijana wenyewe.
 
Sasa hv mtu yuko mtwara na wewe uko musoma anakucheki tu Kama umezingusha
Zaman ilikua hadi uende mkoani au shuleni alikofanyia mtu
Leo hii watu wanazodoa sana pindi mtu akifanya vibaya
Mfano mtoto wa mkulu
 
Hebu nipe athari hasi za kuweka matokeo public.

Ujue matokeo yangi ili iweje?
Siku nafanya paper I was alone iweje wewe uyashikie kibwebwe?
Ni matokea yangu na sio matokeo yet
Na maana mtu anapewa cheti pekee na sio cheti cha wote
 
Sasa hv mtu yuko mtwara na wewe uko musoma anakucheki tu Kama umezingusha
Zaman ilikua hadi uende mkoani au shuleni alikofanyia mtu
Leo hii watu wanazodoa sana pindi mtu akifanya vibaya
Mfano mtoto wa mkulu

Kuzodolewa pia ni changamoto kwa vijana kujituma. We huoni huu utaratibu umeleta zero nyingi sana maana vijana hawapati vijembe kabisa mtaani.
 
Ha!ha. Yaani hawa NECTA wamewapa advantage sana vijana wasumbufu. Yaani me dogo ilikua daily simu mara bro hivi mara bro vilee. Sasa kwa nini kwenye matokeo anagoma kuleta info kamili? Anyway huenda kapata shock kutokana na matokeo mazuri sana au mabaya sana.

Hahaha may be usimuhukumu ila mh ngumu kumeza kama kafaulu hata angezimia kwa furaha ila angeshataja tu matokeo yake.
 
Kuzodolewa pia ni changamoto kwa vijana kujituma. We huoni huu utaratibu umeleta zero nyingi sana maana vijana hawapati vijembe kabisa mtaani.

Vijana kupata ziro ni matokeo ya shule zetu za st kayumba mkuu wangu
Hebu namboe nani kapata zero feza,canosa,marian,st fransis? Few of them to mention koz wanakila nenda mbande secondary school is not a real name of school itacheka no one,2,3, four na zero ndo za kumwaga
 
Nakujjibu wewe,siwezi mdanganya mzazi wangu hata siku moja kuhusu matokeo yangu kwan ntakua najidanganya mwenyewe

Utakuwa division five wewe si bure isingekuwa muhimu badi hata wale kumi bora wasingetajwa public na kupewa zawadi na wizara.
 
Nakupoteza time yangu bure! Na siku zote mzazi hujua mapema kabisa uwezo wa mwanae class
 
Back
Top Bottom