Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ahaha nipo za masiku Dr.?Captain upo
โน๏ธ Hilo jina halina picha nzuri kabisaHuyo ni zuchu tu๐ฅด๐ฅด
Njema sana napita pita kf mara moja moja goli limepoaAhaha nipo za masiku Dr.?
si yupo ccm ana wsiffia kila mzazi anandoto mtoto wake kuwa zuchu au baba levoHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Washitaki kwa MwenyekitiHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Mimi kama mzazi hilo jina naona halina maana kabisa na sitamani mwanangu awe mdoli mbele ya camerasi yupo ccm ana wsiffia kila mzazi anandoto mtoto wake kuwa zuchu au baba levo
muite tulia aksoni aka rangoMimi kama mzazi hilo jina naona halina maana kabisa na sitamani mwanangu awe mdoli mbele ya camera
Kwani huyo ZUCHU anafahamika uswahilini tuUkitaka asiiitwe zuchu hama uswahilini.
Tena Hata utumie goggle pixel ๐โน๏ธ Hilo jina halina picha nzuri kabisa
Sasa yeye sio mweusi sana kama rango ๐muite tulie aksoni aka rango