Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Uzuri ni kwamba hata yeye anajua Baba yake sipendi hilo jina, na kweli itabidi niwe namwambia awapuuze na kuto kukubali kuitikia hilo jinaUtakaapochukia ndio watu watakufanyia inda, hivyo ndio wengi wa binaadam walivyo, mühimu wewe ni kumwambia mtoto wako asiitikie akiitwa jina Hilo Maana sio lake, na wala asiwaambie msiniite, akiwakataza ndio watakapozidi, yeye ajifanye kiziwi akisikia jina hilo na kumfahamisha kwanini unachukia asiitwe hivyo na ushahidi kumionyesha.