Nachukizwa na wanaomuita mwanangu Zuchu

Nachukizwa na wanaomuita mwanangu Zuchu

Acha Kumind vitu vidogo vidogo baba,Ukichukia na watu wakajua kuwa Hupendi Jina litakua sana.Ukichukulia poa linapotea fasta.
Mwanzo niliona ni kawaida tu lakini kila nikimtazama huyo zuchu mwenyewe, nazidi kukosa furaha kwani hafai kabisa kufananishwa na mtoto wangu
 
Habari za wakati huu waungwana..

Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'

Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.

Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.

Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
from umulkheiri to Bob Manson, historia ya majina inafuata mkondo 🐒
 
Habari za wakati huu waungwana..

Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'

Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.

Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.

Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Et zuchi
 
Sawa baba Zuchu tutawakanya Hawa watu wa mtaani
 
Kumuita sio kwamba yeye ndo atavaa au atakuwa na maudhui kama aliyonayo zuchu, nafikiri wanamuita Kwa maana nzuri tu...pengne ni mzuri hvo
 
Huwenda wana maana ingine, lakini hili jina limebeba picha isiyo na misingi ya maadili mazuri
 
Habari za wakati huu waungwana..

Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'

Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.

Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.

Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Poa mama zuchu
 
Sasa Baba Zulfa si uwakataze, usikute limeanzishwa na mama yao, shangazi au mama zake wadogo
 
Ni kimtazamo tu wengi Huwa wanaitwa zuchu juu ya uzuri walionao,huyo sifikirii wanamuita Kwa maana tofauti inategmea pia na umri wake
Umri bado ni mdogo sana, miaka 2
 
Back
Top Bottom