Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Sina uhakika kama hilo jina la zuchu kama lina umaarufu sana ushuani kama ilivyo kwa uswaziKwaiy jina la zuchu linafahamika kote sio ushuani tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika kama hilo jina la zuchu kama lina umaarufu sana ushuani kama ilivyo kwa uswaziKwaiy jina la zuchu linafahamika kote sio ushuani tu
Mwanangu bado ni mdogo hata hawezi kuongeaMwanao kalikubali ndio maana umelijua,anza kuzungumza na mwanao.
Au mwanao anamkubali sana zuchu mwenyewe
Unapo zungumzia ushuani unamaanisha maeneo gani hasa?Sina uhakika kama hilo jina la zuchu kama lina umaarufu sana ushuani kama ilivyo kwa uswazi
Ushuani maeneo gani huko?Ushuani hakunaga vitu hizo mzee ushuani hata majirani kujua jina la mwanao ni nadra sana
Basi mpunguzie mazingira ya kuchangamana na watu,inawezekana unakoishi ndiko kumepelekea hali hiyo,ni jina la hovyo kulingana na mwenye jina kwa mwanao kuitwa hivyoMwanangu bado ni mdogo hata hawezi kuongea
Oster bay,masaki,upanga, mbezi beach..........Ushuani maeneo gani huko?
Na wewe unaishi huko au?Oster bay,masaki,upanga, mbezi beach..........
Hakuna watu wengi sana lakini baadhi ya wanao mfahamu ndyo humuita hivyo, ila kwa sasa nimewaambia sitaki kusikia hilo jinaBasi mpunguzie mazingira ya kuchangamana na watu,inawezekana unakoishi ndiko kumepelekea hali hiyo,ni jina la hovyo kulingana na mwenye jina kwa mwanao kuitwa hivyo
Nimewaambia sana tuUnaogopa kuwaambia majirani zako
Hakuna afadhali, majina yote hayo ni mabaya na hayana maana nzuri hasa kwa watotoBora Zuchu kuna wa wenzako wanaitwa Sukari
Hayana ubaya ni wwe unawaza mambo maovu akili inawaza tabia mbaya muda wote.Hakuna afadhali, majina yote hayo ni mabaya na hayana maana nzuri hasa kwa watoto
Sawa, lakini siwezi kubali mwanangu aitwe hilo jinaHayana ubaya ni wwe unawaza mambo maovu akili inawaza tabia mbaya muda wote.
Huwezi kubali vipi na tayari ameitwa.Sawa, lakini siwezi kubali mwanangu aitwe hilo jina
Siwezi kubali waendelee kumuita ndymaana nakemea kuhusu hiloHuwezi kubali vipi na tayari ameitwa.