Nachukizwa sana na siasa kwenye mpira Yanga na Simba

Nachukizwa sana na siasa kwenye mpira Yanga na Simba

Vifaranga200

Senior Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
163
Reaction score
177
Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki?

Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA, CUF, sijui ujinga gani.

Tuachieni mpira muwe mashabiki tu.
 
Siasa za Tanzania Zina mambo ya ajabu Sana.

Kwenye Mpira zinafanya nini. FIFA Ina vyombo vidogodogo kama TFF, Ile ya Africa, sijui inaitwa nini Kwa nini viongozi wa siasa Wana nafasi kwenye Mpira? Wanashida gani, Kwa nini wasibaki mashabiki?

Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na chadema, cuf sijui ujinga gani.

Tuachieni Mpira muwe mashabiki tu.
Kwani yupo mvaa majani kakutibua😄
 
Back
Top Bottom