The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Unajua ni kupanga nikuchagua, wamasai wao ile ndio asili yao kuishi kwenye yale mazingira, tatizo sio wamasai tatizo ni serikali imeshindwa kubuni mbinu yakutunza mazingira hata kama wamasai wakiwa palepale.Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.
Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?
Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
Nisawa nakusema hakuna wachaga kurudi kwao December kwasababu wanachangia hali ya usafiri kuwa na usumbufu msimu huo
Huwezi kutumia akili hiyohiyo iliyosababisha tatizo kutatua tatizo hilohilo