Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge

Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
Unajua ni kupanga nikuchagua, wamasai wao ile ndio asili yao kuishi kwenye yale mazingira, tatizo sio wamasai tatizo ni serikali imeshindwa kubuni mbinu yakutunza mazingira hata kama wamasai wakiwa palepale.

Nisawa nakusema hakuna wachaga kurudi kwao December kwasababu wanachangia hali ya usafiri kuwa na usumbufu msimu huo

Huwezi kutumia akili hiyohiyo iliyosababisha tatizo kutatua tatizo hilohilo
 
Wamasai na wanyama waliopo pale ngorongoro nani anaingizia taifa fedha nyingi hasa za kigeni?
 
Ni nature tu imewakutanishabwamasai na wanyama. Kuwahamisha usiseme ni improvement. Wao wamejikuta wanaishi huko na wanazaliana fresh tu. Hawajawahi kumlalamikia mtu kwamba wanashida huko.
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
Huenda mleta mada ndio hauko timamu. Embu waza, Mmasai ambaye ameishi hapo Ngorongoro karne zote anaondolewa kwa kigezo cha kulinda mazingira, vipi tena mgeni aletwe hapo hapo Ngorongoro ili uchimbaji wa madini na asiharibu mazingira?

Mwambukusi yuko sahihi kwa 100%
 
Kati ya makundi hayo mawili unamaanisha mojawapo halina akili?

Kwa hiyo wewe kwako mwenye akili kufukuza Wamasai na kuleta Waarabu na mashuka yao mbugani, kuweka airstrips za ndege kubeba wanyama na kujenga mahoteli mbugani ndio akili?
Wamasai waliopo ngorongoro na wanyama ni nani analetea fedha nyingi serikali? Hasa fedha za kigeni ambazo serikali inatumia kuagiza bidhaa muhimu kama mafuta na madawa yanayotumika nchi mzima?
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubungWameishi huko miaka kenda nenda uje hizo athari zimeanza lini? Hayo mapato ya 20% yalipotea wamssai wakiwa Ngotongoro?
 
Wamasai waliopo ngorongoro na wanyama ni nani analetea fedha nyingi serikali? Hasa fedha za kigeni ambazo serikali inatumia kuagiza bidhaa muhimu kama mafuta na madawa yanayotumika nchi mzima?
Dodoma ipo uranium ya kutosha...kwa nn wasiende kule?? Mmasai tokea lini akawa na athari na Nature?
 
Huenda mleta mada ndio hauko timamu. Embu waza, Mmasai ambaye ameishi hapo Ngorongoro karne zote anaondolewa kwa kigezo cha kulinda mazingira, vipi tena mgeni aletwe hapo hapo Ngorongoro ili uchimbaji wa madini na asiharibu mazingira?

Mwambukusi yuko sahihi kwa 100%
Ngorongoro ni eneo muhimu la uwekezaji. Huwezi kujenga hoteli za kitalii huku wamasai wamejazana mbugani. Kuna mabilionea huko duniani wataka kuja kupumzika kwenye hifadhi bila kelele walipe dollars. Serikali ipo sahihi.

Kuhusu uchimbaji wa madini Bado sijaona kwa hiyo siwezi kukomenti chochote.
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?
Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.
Wamasai wameishi huko miaka kenda nenda uje hizo athari zimeanza lini? Hayo mapato ya 20% yalipotea wamasai wakiwa Ngorongoro?
 
Dodoma ipo uranium ya kutosha...kwa nn wasiende kule?? Mmasai tokea lini akawa na athari na Nature?
Dodoma eneo gani Kuna uranium? Unajua uwekezaji unaohitajika kuchimba uranium? Ngorongoro ilishazidiwa na idadi ya watu na kama serikali isingechukua hatua kuwahamisha baada ya miaka 10 mbele Tanzania tusingekua na hifadhi inayoitwa ngorongoro.
 
Wamasai waliopo ngorongoro na wanyama ni nani analetea fedha nyingi serikali? Hasa fedha za kigeni ambazo serikali inatumia kuagiza bidhaa muhimu kama mafuta na madawa yanayotumika nchi mzima?
Wamasai na Waarabu ni kina nani walitangulia mbugani? Lini uliona Wamasai wanabeba twiga na simba kwa ndege kuwapelekea Umasaini kama ambavyo Waarabu wanafanya kupeleka Uarabuni.

Kama ni suala la kuleta fedha za kigeni, eleza ni kwa namna gani Wamasai walizuia fedha kuja pale walipokuwa kwenye eneo lao la asili. Na eleza baada ya madalali wa nchi kunadisha wanyama wetu kwa Waarabu hizo hela ziko wapi. Mbona ndio 'vijitozo' vinaongezeka
 
Kisheria anaweza kuwa yuko sawa au kisheria yuko sawa?

Huyo ni mwanasheria, anagombea uongozi kwenye chama cha wanasheria, ulitaka awe sawa kishairi?
Yuko sawa au anaweza kuwa Yuko sawa yote ni majibu . Lakini kama mgombea wa kiongozi wa taasisi inayogusa maslahi ya nchi hafai kwa hoja zake chache tu nilizomsikiliza . Nchi haiongozwi na sheria tu peke yake.
 
Back
Top Bottom