Nadhani hiki ndicho kinampeleka Tunda polisi central

Usituambie kuwa hiyo ni bangi kabla hujathibitisha kuwa ni bangi.

Hebu thibitisha kuwa hiyo ni bangi na siyo tumbaku iliyosokotewa humo ndani.

Hapo umetuletea porojo changa tu.
 
Hata unga unaweza kuchanganywa kwenye bangi pia
 
Umejuaje Kama hizo ni Bangi kwa muonekano katika picha!? Inawezekana ni tissue alizisokota kutolea uchafu masikioni.
 
Majani ya Chai y

Majani ya chai gani yapo hivyo, hayana hata lebo kuonyesha yanatoka kiwanda gani, na pia ni vyake kwa kuwa amepost kwenye akaunti yake. Mtu huwezi kupost kitu kama hicho halafu ukakana siyo mtumiaji.
Sio kweli, kwahiyo nikiposti picha ya Walcot kwahiyo atakuwa ndugu yangu au nitakuwa mimi?
 
Kwavyovyote vile hiyo itakuwa ni marijuana. Nawasisiwasi huyo binti kama anaelewa anachofanya. Sheria za nchi yetu marijuana imewekwa daraja moja na illicit drugs kama cocaine, meth au heroin. Japo hii si kweli kwamba marijuana ni sawa na hizo dawa zinazotengenezwa maabara lakini hawa mabinti wanatia shaka. Herb inapaswa itemiwe kwa inspiration na heshima. Balance is key. Jamii yetu inayo macho na itaku-judge kwa matendo yako. Kwa aina ya maisha wanayoongoza nirahisi tu kuchanganjiwa na drugs nyingine. Inampasa achunguze sana kuhusu herb. Leo hii marijuana inaata support kote kote duniani lakini hatutaki watu watumie kwanamna yakusababisha matatizo. Hapa ndiyo unaona hatari ya kijana mdogo kupata money and fame angali hana guidance kumuongoza kwenye maisha.
 
Kunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
 
Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
Nashukuru kama huwa unafatilia ninavyokuwa "naongea" japo hapa nimeandika. Ila na mimi nikuhakikishie kama umejaza "nguruwe" kwenye ubongo wako lazima uone nilichoandika ni "pumba".


Hivi kwa mfano leo wewe ni polisi umemshika "young dee" barabarani akiwa katika matembezi yake, au majirani zake wakakumabia dogo huwa anavuta bangi sana, baadae umapeleka Mahakamani kwa kosa la kuvuta bangi. Mahakamani wakataka ushahidi, ulivyo "sakala" ukapeleka hiyo picha kama ushahidi wako, unategemea hukumu yake inakuwaje?
 
Mkuu na wewe uliyepost hiyo picha unajua wanaweza kukuita huko central. Tutajuaje kama si wewe yliyeipiga picha mana iko kwa account yako
Co rahisi kama unavyofikiria kwa vinavyofanywa humu wote tungekuwa central sasa hivi na ww ukiwemo
 
Mkuu na wewe ndio naomba kuuliza, na wewe ndio upeo wako wa kuchambua...., ulipogotea.?
Unasema hudhani kama bangi ni tatizo? kawambie polisi basi wawe wanaacha kuing'oa na kuteketeza, au wale wote waliofungwa miaka 30 kwa utumiaji bangi kama Dawa ya kulevya waachiwe maana hudhani kama ni tatizo.?f
Na kwa haraka tu ni kusaidie kama ndio nadharia uliyonayo kichwani mwako, basi hata hiyo mihadarati sio tatizo, tatizo litakuwa matumizi. Huwezi kutumia mihadarati huku unashindia chips kavu hisikupukutishe chini, ni sawa na uvute hiyo bangi huku mlo wako ni wakulenga kwa manati, mwisho wa siku utaishia kuiba tu na kuwa kibaka.
 
Kama kazi ya unga ni kulevya kwa nini watu wasitumie vileo (alcohol).Kwanini unga?Unga basi utakuwa na kitu cha ziada
Raha ya unga wenyewe wanakuambia ni kama unapiga bao ,sasa ulevi wa pombe na utamu wa kupiga bao wapi na wapi ?
 
Kunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
Sio kila mtuhumiwa hufikishwa mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…