Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Thats stupid...usifanye jok na vyombo vya usalama kwa kutafuta sifa humu
Imekuuma sana kuona neno ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thats stupid...usifanye jok na vyombo vya usalama kwa kutafuta sifa humu
Usituambie kuwa hiyo ni bangi kabla hujathibitisha kuwa ni bangi.JIONGEZENI. CHAMBUENI MAMBO KAMA WATU WENYE UPEO. HIZO NI BANGI. KWA HIYO HOJA ZENU ZIWE KWENYE TATIZO LA MADAWA AU VITA HII YA MADAWA. AU MATUMIZI YA MADAWA KWA WASANII NA SI VINGINEVYO. MNAPINGA KWAMBA HIO SIO Banging ILI MUONEKANE MKO MAKINI ILA UKWELI MNAUJUA.. HATA HIVYO SIDHANI KAMA BANGI NI TATIZO HASA WAKI ROLL IKIWA DRY AU NA KALI NYOTA PENGINE WASANII HAWA WANA NYONGEWA NA NGADA NDANI YAKE. MIMI MWENYEWE NI SHUHUDA NISHAONA MTU ANANYONGA BANGI NA VALIUM VILE VIDONGE.. ANAVISAGA NA KUCHANGANYA NA MJANI.. AKIVUTA KAMA TEJA
Hata unga unaweza kuchanganywa kwenye bangi piaKatika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA"
Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya jumatatu ni kuhusu kuhusika katika matumizi ya madawa ya kulevya .....Katika page yake ya instagram january 14 mwaka huu alipost picha ya kinachohisiwa kuwa bangi nne zilizonyongwa, Ikumbukwe ya Kwamba bangi ni moja ya madawa ya kulevya
View attachment 467311
Na wewe ni mtumiaji wa hayo majani?maana umechanganya chai na pilipiliWewe unafikiria ruzuku ya cdm inapotelea wapi?
Umejuaje Kama hizo ni Bangi kwa muonekano katika picha!? Inawezekana ni tissue alizisokota kutolea uchafu masikioni.Katika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA"
Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya jumatatu ni kuhusu kuhusika katika matumizi ya madawa ya kulevya .....Katika page yake ya instagram january 14 mwaka huu alipost picha ya kinachohisiwa kuwa bangi nne zilizonyongwa, Ikumbukwe ya Kwamba bangi ni moja ya madawa ya kulevya
View attachment 467311
Nadhani na wewe utaishi milele ili ushuhudie utawala wenu.Ccm tutatawala milele.
Sio kweli, kwahiyo nikiposti picha ya Walcot kwahiyo atakuwa ndugu yangu au nitakuwa mimi?Majani ya Chai y
Majani ya chai gani yapo hivyo, hayana hata lebo kuonyesha yanatoka kiwanda gani, na pia ni vyake kwa kuwa amepost kwenye akaunti yake. Mtu huwezi kupost kitu kama hicho halafu ukakana siyo mtumiaji.
Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust meKunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
Nashukuru kama huwa unafatilia ninavyokuwa "naongea" japo hapa nimeandika. Ila na mimi nikuhakikishie kama umejaza "nguruwe" kwenye ubongo wako lazima uone nilichoandika ni "pumba".Leo umeongea pumba za hali ya juu zaidi katika maisha yako yote,trust me
Co rahisi kama unavyofikiria kwa vinavyofanywa humu wote tungekuwa central sasa hivi na ww ukiwemoMkuu na wewe uliyepost hiyo picha unajua wanaweza kukuita huko central. Tutajuaje kama si wewe yliyeipiga picha mana iko kwa account yako
Mkuu na wewe ndio naomba kuuliza, na wewe ndio upeo wako wa kuchambua...., ulipogotea.?JIONGEZENI. CHAMBUENI MAMBO KAMA WATU WENYE UPEO. HIZO NI BANGI. KWA HIYO HOJA ZENU ZIWE KWENYE TATIZO LA MADAWA AU VITA HII YA MADAWA. AU MATUMIZI YA MADAWA KWA WASANII NA SI VINGINEVYO. MNAPINGA KWAMBA HIO SIO Banging ILI MUONEKANE MKO MAKINI ILA UKWELI MNAUJUA.. HATA HIVYO SIDHANI KAMA BANGI NI TATIZO HASA WAKI ROLL IKIWA DRY AU NA KALI NYOTA PENGINE WASANII HAWA WANA NYONGEWA NA NGADA NDANI YAKE. MIMI MWENYEWE NI SHUHUDA NISHAONA MTU ANANYONGA BANGI NA VALIUM VILE VIDONGE.. ANAVISAGA NA KUCHANGANYA NA MJANI.. AKIVUTA KAMA TEJA
Raha ya unga wenyewe wanakuambia ni kama unapiga bao ,sasa ulevi wa pombe na utamu wa kupiga bao wapi na wapi ?Kama kazi ya unga ni kulevya kwa nini watu wasitumie vileo (alcohol).Kwanini unga?Unga basi utakuwa na kitu cha ziada
Breki pumb* hapo sasa huo utoto unatoka wapi ?ivi uyu si mtoto kabisa, aiseee
Sio kila mtuhumiwa hufikishwa mahakamani.Kunasehemu imeandikwa hapo kuwa hiyo ni misokoto ya bangi.? Au wewe ndio Mtuniaji na unauzoefu nayo? Kama ndio style anayotumia bwana mdogo mwambieni ajiandae kuangukia pua huko mahakamani hasa litakapokuja Suala la ushahidi.
Mkuu hao wanaweka sura za kitoto tu lkn wapana zaidi ya nyangumiivi uyu si mtoto kabisa, aiseee
Unaweza kuwa sahihi, labda utusaidie kutokana na uzoefu wako, wengine hufikishwa wapi?Sio kila mtuhumiwa hufikishwa mahakamani.
Huachiwa huru Kwa sab mbali mbaliUnaweza kuwa sahihi, labda utusaidie kutokana na uzoefu wako, wengine hufikishwa wapi?