Leo 14/7/2023 katika mkutano wa Wahariri na Viongozi wa wizara mbali na kuambiwa mikataba itakayo fuata ya kibiashara itakuwa ni SIRI iki maanisha kuna uwezekano tusije jua Ukomo wala Mapato baada ya hii IGA ,shida kubwa nliyoiona ni hii 35% hisa wazawa .
Ni kwamba katika mikataba ya kibiashara na DP WORLD hisa asilimia 35 zitakuwa za wazawa na utaaribu utawekwa namna ya kuzipata .
Hapa ndipo panapoleta shida na kelele mpaka tumeshuhudia kina Msukumu,Zembela ,kitenge kina Rostam wakiingia kwa nguvu kwenye hili suala ,kuna watu wanatetea kwa maslahi yao binafsi .
Kwa kifupi kuna haja kubwa ya kuendelea kupiga kelele otherwise mambo mengi yasiyoeleweka yatapita hasa watu wakitarget hii 35% sio maslahi kwa Taifa .
Ushauri wangu hii 35% iwe ni ya Serikali