Nadhani kuhusu issue ya DP WORLD shida kubwa iko kwenye hizi 35% za wazawa

Na hiyo mikataba mingine kuwa siri wametaka maana walikuwa wanalazimishwa na sheria ya Natural Weather and Resources ya mwaka 2017 kupeleka hiyo mikataba bungeni, ila wanaenda kubadili sheria ili hiyo mikataba isiende Bungen.
Kila namna itafanywa
 
Huna pesa na hata akili pia huna?.
Acha wenye uwezo wa kuchukua hizo 35% tukachukue.Wewe walilie watu wa ukoo wako kwa kutokuweka mipango na akili zao katika kutafuta mitaji mikubwa.
 
Huna pesa na hata akili pia huna?.
Acha wenye uwezo wa kuchukua hizo 35% tukachukue.Wewe walilie watu wa ukoo wako kwa kutokuweka mipango na akili zao katika kutafuta mitaji mikubwa.
🤣🤣🤣
 
Hivi hizi asilimia zimeandikwa wapi?
Mbona mnadanganywa kirahisi na mambo yasiyokuwepo?
 
Tuletee hiyo document iliyoandikwa hizo asilimia 35. Hatutaki siasa kwenye ishu zinazohusu rasilimali zetu.
 
"Maliasili zetu Watanzania zinachukuliwa bure haya ni maajabu,sitaruhusu hilo" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
 

Attachments

  • VID-20230715-WA0734.mp4
    9.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…