Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Muwe na siku njema , niko tayari kuzipokea comments , sasa hivi tuko iPhone 16
Steve Job alicopy idea kwa rafiki yake Microsoft Ila Microsoft kaacha kutoa hizo series za windows sasa maana pia ulikua ni ugonjwa watu walikua ikitokea windows mpya ya zamani inapigwa chini sasa hivi imeishia 11 hapo hakuna muendelezo Ila imasemekana ugonjwa huo unarudi 2025 ambapo windows 12 itatoka, kwa hio ni mkakati wa biashara
 
Haya mambo ya Series ni shida sana
 
Kwakeeli iPhone ni baba lao.. maana kutwa kuijadili na kuanzishia mauzi yanayo zihusu, ila iSheep Wala wao hawana mda wa kuanzisha madam kuponda simu zingine..

Kuna msemoo.. mti mwema ndio hupigwa mawe.. kwa halii hii iPhone ni mti mwema.

 
Once Apple pulls you into its ecosystem, it's easier for a camel to pass through the eye of a needle than for you to break free.
 

Umejuaje wakati we huna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…