Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

Sure mkuu 🀝
 
Kama una pesa kama Mond, dangote, kuwa na iphone, ni status, lakini kama ka salary kenyewe chini ya Milioni 2,unajikakamua kumiriki simu ya Milioni 3! Huo ni ugonjwa wa akili, kuna Dogo mmoja, kitaa,mshahara 400K, anajikakamua kudunduliza anunue iphone hata kama ni used! Ii mradi Gen Z vibinti vimuone yupo latest, bado anaishi kwao,
 
Uko sahihi
 
Anaishi kwa show off atateseka sana.
 
Ni kweli mkuu, mfano Huawei ni simu moja nzuri sana, angalia jana nao wamezindua simu mpya inayokunjika mara tatu, pia inatumia akili mnemba (AI), na unaweza kuipata kwa $2,800, πŸ™ŒπŸ½
Teknolojia inakweenda kasi sana sasa Sijui ten years to come tutakuwa wap katika mfumo mzima wa maisha
 
Halafu Ukute kuna watu walishapewa mimba wakatoa sababu ya iphone 3 wapo tayari kwa lolote sababu ya iphone 16. Yaani kila mwaka kuna jambo linampata sababu ya iphone kwa miaka 13.
 
Kwa mie mpendwa picha , Google pixel πŸ™ŒπŸ™Œ
Sio mchezo ... though napenda Samsung πŸ˜„
Hatar na nusu mm natumia Tecno wereva πŸ˜ƒ
Nilichungulia Kwa mtu picha google pixel babalao
kunarafikiyngu ana I phone 11 pro tumeenda sehemu akasema nimpigie picha πŸ˜€ aisee Giza sio Giza ukungu sio ukungu πŸ˜€πŸ˜€

Nikaweka pembeni hebu nitumie simu yangu akagoma nikamwambia tulia simu yangu ikatoa picha Kali kuliko hiyo I phone akabaki nipigie bas unitumie Whatsapp πŸ˜€πŸ˜€
 
Unafikiri watakuelewΓ  basi
Wana amini iphone ndo cm
πŸ˜„πŸ˜„ Nimecheka eti nipigie nitumie wasap.
Ila Kwa jina/brand iphone anauza
Ila G pixel kiboko aisee
Nasikia Kuna ya 1 m,sipati pichaπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…