Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Huyu Retired hata mimi kuna wakati nilidhani ana kitu kichwani lakini niliposoma huu ujumbe wake nimeamini kuwa Mh. Tundu Antiphas Lissu kwa hakika anawatesa wengi.

Lissu anafagia machafu yaliyofichwa uvunguni na kuyaanika wananchi wayaone kwa macho yao wenyewe. Lissu kawasha BUG ZAPPER, wadudu hawana tena pa kujificha!
🤣🤣🤣🤣😅 ... mi nkifikiri kuwa Lissu ndo BUG ZAPPER yenyewe!!!
1735188787778.png
 
Chadema, ACT na vyama vyengine vya upinzani hawana plan ya kushinda uchaguzi wala kushika nchi, isipokuwa ni kupoteza wananchi maboya na kuwapa matumaini ya uongo.

The way siasa za vyama vya upinzani zilivyo kwa mwenye akili unaona kabisa hapa hakuna kitu.

Ukiona mpaka serikali inataka kuku ua basi jua kabisa wewe ni mwiba tena mchungu na umeshindikana.

Mbowe na Lissu mmoja wao anania ya dhati na kweli kabisa kupata chama kilicho huru, kuleta upinzani na mabadiliko ya kweli katika nchi, Ila mwengine anapoteza watu maboya ili kusogeza siku.

Serikali ya CCM haitakubali hata siku moja kuona vyama vengine vikiongozwa na watu wenye misimamo ya kweli na wanaotaka mabadiliko kwasababu kuruhusu huko kutapelekea Serikali kushindwa kuwanunua watu hao na hatimae wawe viongozi vivuli tu ambao muongozo wote bado utatoka CCM tu.

Lissu he's arleady betrayed na atapoteza muda kuendelea kukaa chadema kwasababu CCM wana machawa ndani ya Chadema ambao ndio viongozi wakubwa ndani ya chama.

Mabadiliko ya kweli yanakuja na yataletwa na vyama vengine vipya ila sio hivi vilivyozoeleka.

Kufatilia siasa za Bongo inabidi ujizime data unless utapasuka kichwa.
... wananchi ndio waamuzi halisi wa mabadiliko, pale hali inapowalazimu, ... halafu wanasiasa hujivika koti la ushujaa!
TUNDA LIKIIVA HUDONDOKA LENYEWE!😅
 
Huyo ni mgombea urais wa CHADEMA wa mwaka 2020. Nashangaa watu wa Mbowe wanamtusi mtu waliyemnadi mwaka 2020 kuwa anafaa kuongoza nchi!
... hozana juu mbinguni ... hozana juu mbinguni!! ... Halafu, baadaye, "muachilie Baraba, ... Yesu ASULUBIWEEE! ... HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA!
😅
 
Back
Top Bottom