Chadema, ACT na vyama vyengine vya upinzani hawana plan ya kushinda uchaguzi wala kushika nchi, isipokuwa ni kupoteza wananchi maboya na kuwapa matumaini ya uongo.
The way siasa za vyama vya upinzani zilivyo kwa mwenye akili unaona kabisa hapa hakuna kitu.
Ukiona mpaka serikali inataka kuku ua basi jua kabisa wewe ni mwiba tena mchungu na umeshindikana.
Mbowe na Lissu mmoja wao anania ya dhati na kweli kabisa kupata chama kilicho huru, kuleta upinzani na mabadiliko ya kweli katika nchi, Ila mwengine anapoteza watu maboya ili kusogeza siku.
Serikali ya CCM haitakubali hata siku moja kuona vyama vengine vikiongozwa na watu wenye misimamo ya kweli na wanaotaka mabadiliko kwasababu kuruhusu huko kutapelekea Serikali kushindwa kuwanunua watu hao na hatimae wawe viongozi vivuli tu ambao muongozo wote bado utatoka CCM tu.
Lissu he's arleady betrayed na atapoteza muda kuendelea kukaa chadema kwasababu CCM wana machawa ndani ya Chadema ambao ndio viongozi wakubwa ndani ya chama.
Mabadiliko ya kweli yanakuja na yataletwa na vyama vengine vipya ila sio hivi vilivyozoeleka.
Kufatilia siasa za Bongo inabidi ujizime data unless utapasuka kichwa.