Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Naomba niwe ndugu yako😍
 
Hii story kama ni ya kweli ni story nzuri sana. Kwanza hongera kwa kuweza kusim
ama katika mapito yote uliyoyapitia. Japo kuwa umefanikiwa kupata fedha lakin bado kuna kitu umepungukiwa. Aman. Unafurahi na kujifariji na marafiki zako lakin kukosa familia kumekufanya uwe na nafasi katika moyo wako inayotakiwa kujazwa. Pesa haziwezi kuziba pengo hilo jitahidi upate familia ili ujaze huo moyo mtupu. Hiyo nafasi ambayo imeachwa wazi katika moyo wako ni kama kiu isiyopata maji daima itautesa mwili. Kama ukikubali mimi niko tayari kuujaza huo moyo mtupu na kukufanya uwe na aman.
 
Hongera sana mleta mada, km ni story ya kweli, basi una uzoefu mkubwa wa mambo! Hasa kuficha uhalisia wako! Kila la heri pia!

Najaribu kufikiria wakati mwingine ni vizuri kukutana na watu km wewe wenye kuleta challenge ktk maisha! 😄
 
Imenichuku karibu saa mbili kuusoma uzi huu mwanzo mpaka hapa
Nimejifunza vingi mno, vingine vipo juu ya upeo wangu lakini sijatoka kapa.
Kuna vingi nilikua natamani kujifunza binafsi kwako mleta mada ila kwa vile tupo chini ya mwavuli wa jf hamna namna itoshe kusema nimejifunza vingi .
Malezi ya mtoto, imani , upambanaji, namna ya kuishi na jamii vile inataka ndani ya takwa lako ambalo lipo kinyume na jamii, vile ya kuishi na waliokufanyi mabaya, vile utaishi hali ni yatima, mpweke, mkataliwa, msingiziwa mabaya, nk nk nk.
Pridah japo umesema huna imani ya moja kwa moja na uwepo wa Mungu lakini binafsi yangu ninae amin yupo nakutakia heri na fanaka zake.
Sisi tunao amini nyuma yetu hatuna wema hata kiasi kidogo sana, tumejawa wivu, dhuluma, mawazo mabaya negative, hatuwakusudii wenzetu yalio mema na wala hatuna chochote tunachoweza kuonyesha kilichotokana na kuamini kwetu zaidi ya maneno tu kwamba tunaamini.

Kinyume chake wewe uliyejipambanua haumini upo na mengi mazuri na mema kiasi cha kutuzidi mbali sisi tunao amini, basi kwa hayo mema mazuri uyafanyayo katika jamii ama hata kwa huyo mwanao yakawe sababu ya kubarikiwa kwako.
 
I didn’t read all that

I congratulate you or console you for whatever happened in your story


Kataa ndoa
Kataa singo maza
Kataa magumegume😁😁🚶🏽‍♂️
 
Sema we MJOMBA unajua kutunga story.
 
Sasa mkuu unaogopa kupopolewa wakati we tayari umetupopoa wababa ambao hatuna uwezo wa kuwapa watoto wetu maisha mazuri na exposure kama ulivompa mwanao?

Singo mama wakijipata taaabu kwel kwel,

ephen_ kama hujakuja ukuje huku uona singo mama atheist aliyejipatia madhabahuni alivotupopoa wababa huku, sijui niache huu ulokole wangu?
 
Hahahahaha sasa wenzio wanamchukulia huyu ni Shujaa na mfano wa kuigwa , na wanawake wengi usikute wanatamani wawe km huyu...nampa Hongera zake, kanifunza na kunifungua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…