Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Jamani huku jf tunafungana kamba Sana,Kuna Uzi wa huyu mti ukiusoma utashangaaa.
Kuna mdau kaufufua hapo juu,hahahahah
 
Habari wapendwa.

Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka nione nitajisikiaje baada ya kusema coz nimekua natamani sana nipate mtu wa kumwambia.

Kwa nitakayoyaorodhesha hapa chini nadhani mimi nitakua ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote hapa Jamii forums🙈🙈.

MIMI NI SINGLE MAZA wa one smart little boy mwenye ndoto za kuwa Astronaut na mchungaji.Katika vitu nimefaulu kwa max nyingi maishani ni malezi bora ninayompatia huyu mtoto.Nimefanikiwa kumfanya ashike namba 1 miaka yote shuleni.Nimefanikiwa kumfundisha maadili kiasi kwamba amekua mtoto anayetolewa mfano na kupendwa na majirani na kila anayekua nae karibu.Kikubwa nimefanikiwa kumfanya aupende na kujivua uanamme wake kiasi kwamba anasema ikitokea achague kufa au kuishi kama msichana atachagua kufa.👍👍.Mwanangu ni kembamba karefu ila ukikaona kanavyotembea kibabe huku kametanua mikono utasema baunsa😂na nimefanikiwa kumfanya aamini style nzuri ya nywele ni ya kipolisi tu na kuchukia tule tu jeans twenu twa kubana.Mwanangu pigo zake ni suruali za kisabato na hata kwa risasi humvalishi hivyo vimodel.Ikitokea vaseline yake imeisha yuko tayari kupaka mafuta ya kula kuliko kupaka lotion yangu.

Najivunia kuweza kumudu ada ya over 10M ili mwanangu apate elimu ktk mazingira bora na salama na yatakayompa connection hapo badae.Najivunia kuweza kumpa maisha mazuri na exposure ambazo watoto wengi hawawezi kupewa na baba zao.He can drive and ride(nyumbani tu),anapika vitu simple,ni marufuku dada kumfulia au kumsafishia chumba chake ,he can paint,he can put tiles na vitu vingi vya ufundi hadi kunyoosha koplo at only 12..

Najivunia kufanya ampende baba yake kwa kumwambia story nzuri kuhusu babake na hilo limefanya wawe karibu na yeye kufaidi malezi ya baba na mama.

Najivunia baba watoto wangu anavyonisifia kwa mtoto kuwa “your mum is a darling queen” hadi mtoto huwa anauliza(ga) sasa mbona hatuishi kama one big family na huwa anaambiwa muulize mama yako na hii ni kwa sbb mimi ndio niliyeomba tutengane tukiwa bado tunapendana ili nipambanie ndoto zangu na sijutii hilo coz nikifa leo mwanangu atakua miongoni mwa mabilionea watoto hivyo pamoja na kwamba kuna siku za upweke ila SIJUTII maamuzi yangu yaliyopelekea niwe SINGLE MOTHER.💕

MIMI NI ATHEIST.🙈

Nimekua na doubt uwepo wa Mungu tokea nikiwa primary.Nimebatizwa kilutheri lkn mpaka siku napata kipaimara tayari nilishaanza kujiuliza uliza vitu.

Ninakubaliana na Kiranga na wenzie kuwa Mungu,Allah,shetani,mbinguni,akhera,uchawi,majini,Firdaus na mapepo ni hadithi tu zilizotungwa na binadamu kwa lengo lakuweka hofu ndani ya watu.

Hata hivyo mimi ni tofauti na kina Kiranga kwa sababu mimi(mnisamehe sana) ni “mtumishi wa Mungu”. Ninasimama madhabahuni kuhubiri na pia ninaimba nyimbo za injili.Nyimbo zangu ziko youtube,nina account kubwa tu Insta na wapendwa wanakiri “kubarikiwa “sana na huduma yangu na wengine wanakiri hadi kupona magonjwa kupitia nyimbo zangu au “maombi” ninayofanya ila hiyo iko kisaikolojia zaidi hakuna anayepona kimiujiza.

KWANINI MIMI NI ATHEIST ila nasimama MADHABAHUNI?

1)Sitaki mwanangu ajue mimi ni atheist sbb akifikia ule umri wa ujana wa kusumbua biblia itakua moja ya silaha zangu kumtuliza wenge.

2)Napenda kufundisha (nina ualimu ndani yangu)!hasa wanawake wenzangu ila huwa sihubiri mambo ya kufikirika ya miujiza ila kwq vile jukwaa langu ni madhabahuni inabidi nitumie bible na kutaja Yesu na kukemea mapepo na mimi ni muhubiri mzuri sana ukiniona nikiwa nahubiri jinsi “nawasha moto wa upako” na ninavyonena kwa lugha halafu uambiwe mimi ni atheist na ninakunywa wine hutaamini🙈🙈.

3)Vile vile napenda kuimba so naimba gospel kama hobby tu ila ndo hivyo siamini ninachokiimba ila naburudika.

4)Kanisa limenipa heshima.Najisikia raha zile VIP treatments ninazopata ninapoitwa sehemu kuhubiri/kuhudumu.

5)Kanisa ndio sehemu pekee nimekua na socialize toka niwe na akili.Sijui bar wala clubs wala sehemu nyingine ya starehe.Marafiki na ndugu zangu nimewapatia kanisani na ndo mana siwezi kamwe kuruhusu wajue mie ni atheist.

6)Sehemu ya kipato changu inatoka madhabahuni.(Sio unavyodhani).

MIMI NI YATIMA ila sina uhakika.

Hii na uatheist ndo vitu sitaki kabisa watu wajue.

Najihesabu kama yatima ila ukweli ni kwamba sijui kama wazazi wangu wako hai au wamekufa.Sijui majina yao,dini,kabila wala sina uhakika kama ni watanzania au la ila mama yangu kwa kigezo cha umri anaweza kuwa bado hai sbb nahisi alifanya aliyofanya sbb nahisi alipata mimba yangu akiwa mtoto na inawezekana aliificha mimba na hata kuzaa.Nashukuru hakupata wazo la kutoa mimba.

Wakati niko mdogo nilidhani mama aliyekua akinilea ndo mamangu mzazi kwa jinsi alivyonipenda kuliko hata wanae na wanae nilijua ni ndugu zangu wa kuzaliwa ila alipofariki ndo nikajua ukweli.Watoto wake wakagawanywa kwa ndugu ila mimi sasa hakuna aliyenitaka ila ndo hakuna aliyejua yule mama alinitoa wapi ili wanirudishe.

Hivyo Ikawa leo nakaa kwa huyu kesho yule akiwa hana dada wa kazi napelekwa kwake,kesho kutwa nitaadhibiwa niseme kwanini baba mwenye nyumba ananiangalia sana then nitafukuziwa kwa yule anayeaminiwa ni mkali aninyooshe eti nina tabia chafu n.k.

Kwa kifupi niliteseka sana sana sanaaaaaa ktk umri mdogo na sehemu pekee niliruhusiwa kwenda ni kanisani maana walikua walokole ukoo mzima😂.Walikua watu wa Mungu😀.

Kuna nyakati kuna vitu nilikua napitia nikafunga sana nikiomba Mungu anipumzishe navyo.Kuna siku nilitoroka usiku nikakimbilia kanisani nikapiga goti nikawa nasali huku machozi yanatiririka mashavuni hadi pakakucha,Nilisali nikimlalamikia Mungu usiku mzima bila kupumzika hadi miguu ikafa ganzi kwa kupiga goti.Nilikua namuomba Mungu kuwa ikimpendeza aidha aichukue roho yangu niende kwake nikapumzike au kama anataka niendelee kuishi basi aniondoe kwenye mateso niliyokua napitia.

Kufa sikufa ila cha moto niliendelea kukiona.Kuna siku nakumbuka niliropoka kwa mchungaji kuwa kama Mungu wetu sio kiziwi au kipofu basi hana huruma.

Wale ndugu zangu niliolelewa na mama yao wakati tuko wadogo kila tulipokutana tuliendelea kupendana ila tulipokua wakubwa na nikaanza kuwapiga gape la maendeleo wakanitenga kwa chuki kuu.

Ilifika sehemu nilifukuzwa kwenye msiba kwa madai kuwa kuna mtu wa Mungu ameoneshwa eti mimi ndio nimemtoa yule mtu kafara na kwamba wasiposimama kwenye maombi watarajie misiba zaidi.Nilikua nimetoa pesa nyingi ili mpendwa wetu azikwe kwa heshima ila nilirudishiwa zile pesa na kuombwa nikae mbali nao na niache kutumia ubini wao.

Niliheshimu hilo na nikawafuta maishani mwangu japo bado natumia ubini wao.

Kuna siku natamani na mimi niwe na shangazi,mjomba,mama mkubwa na mdogo,wapwa na mabinamu nikawatembelee na wao wanitembelee au tukutane kwenye sherehe za ndugu au niungwe group la ukoo ila ndo hata sijui ndugu zangu wa kweli wako upande gani wa dunia hii.

Mwanzoni nilikua nikipata mwanaume hata anitende vipi nakua king’ang’anizi sbb nilikua naona ndo kama baba,kaka ,mama mjomba na kila kitu so mpaka na let it go mtu anakua keshajuta kunijua😀au nipate mtu anichukulie kama ndugu yake yaani nitakavyojitoa na kumspoil na ikitokea akanitenda huwa naumia sana.

Hata hivyo kwa sasa rafiki zangu ndio ndugu zangu japo sitaki wajue kuwa sina ndugu sababu nahisi wataniona wa ajabu .Sometimes wakihadithia kuhusu ndugu zao na mimi nahidithia vya uongo 😃ila ukweli ni kuwa

ikitokea mimi na mwanangu tumekufa leo mali zangu zitakuwa chini ya kanisa katoliki zikawafae yatima.

MIMI NI KATAA NDOA🤪ila naaamini ndoa ni kitu kizuri ila kwa upande wangu nikifikiria kuanza kuchanganya mambo ya uchumi na ikitokea tumeachana nawaza itakuwaje ktk kugawana mali na vitu kama hivyo basi naona acha niwe nungayembe😀.

NB: Atakayenisaidia kudaka risasi za watakatifu na za anti-single mothers nina vocha yako😃
Kati ya huu Uzi na ule mwingine upi Ni wa kweli?
 
Kama hii story ni ya kweli basi maoni yangu ni haya ;

Ungekua mwanasiaza ningesema umeasa KULEWA MADALAKA.

Pia Mungu ni level nyingine huwezi ukatumia benchmark/wiwango/level ya mwanadamu kumdadisi Mungu.

Kama haja za Mkuu Kiranga zimekusomba basi tambua hauko imara kiimani (roho matakatifu). Kupitia roho matakatifu mambo yapo wazi(ni automatic), huhitaji hoja ya mtu kufahamu uwepo wa Mungu.

Bila Mungu kusingekuwa na sayansi, sayansi imepatikana kupitia uumbaji wa MUNGU. Nimegusia hapa kwasababu nimeona umeanza kuamini kwenye psychology.
 
Pole sana. Hayo unayopitia,umewaza ukifa leo mwano nae anaweza akayapitia?Kupata faraja na kuweza kuishi yale unayoyatamani,nakushauri jenga familia imara ,as along as uchumi upo vzr zaa/adopt watoto wengi uwezavyo,walau utafidia gap uliyonayo....hata kama sio wewe basi watoto wako wataishi katika namna ambyo wewe hukuishi. Familia ni moja ya taasisi bora zaidi.
Kwani ukifa sasa na kanisa likachukua mali,lilitafuta na wewe?Sasa kwa nn ujisikie unyonge kugawana na mwenzio kama mambo yakiharibika ?Hata mkigawana,bado watoto ndio watatufaika na mali zako pia. Anyway,unaweza kuandika mgawanyo mali zako wakati ukiwa ndoani. Kila laheri.
 
Mimi nitakachosema ni kimoja tu: Laiti ungejua jinsi gani muumba wa ulimwengu alivyo na upendo na huruma, hata akakuacha ukamkanusha na bado haachi kukuneemesha, basi ungekuwa mja mwenye shukrani, lakini mwanadamu kawaida yake huvuka mpaka akijiona ameshajitosheleza.

Anyway, endelea na uatheist wako mkuu, wewe na mimi na watu wote tungeamua kumkataa basi haipunguzi hata tone kwenye ufalme wake.

Yoote ya kufikirika kifo je? chenyewe si unakubali kipo? basi siku ukifukiwa kwenye shimo la giza peke yako, utajua kuwa hatukuja hapa duniani kwa bahati mbaya, na mambo hayajiendeshi yenyewe.

"Na akasema Musa: "Ikiwa mtakufuru nyinyi na wote waliomo duniani, basi hakika Allah ni Mkwasi mwenye kusifiwa."

Qur'an 14:8

Pridah
Mungu angekua yupo na na ana upendo kuna kitu mimi nina sifa zote za kukipata ila hanipi na anapwapa wengi hawana sifa sp hayupo.
Pia mkuu kuna walokole waaminio wengi hawafuati amri kumi za Mungu ila mimi japo slamini ila kwa misi.amo yangu wakiitwa wanaoziishi nitawapiga gape waaminio wengi sana.

Nina upendo na huruma na mwepesi wa kusamehe kuliko watu wengi unaowajua.

Si imeandikwa asiyefanyw kaz na asile ila kuna waaminio wanalala na kiamkia kanisani badala ya kufanya kazi wkt mimi nafanya kaz kama punda
 
Kwa nini ugawe vocha kwa masharti? Atheists hawako hivyo ndugu.

Jifunze kwa Bantu Lady mwenyekiti wa Timu Sandakalawe na katibu wake Leejay49 utaelewa namna ya kutoa msaada wa vocha kwa kina pangu pakavu tia mchuzi wa jf.
🙏🏼🙏🏼
 
Pole sana. Hayo unayopitia,umewaza ukifa leo mwano nae anaweza akayapitia?Kupata faraja na kuweza kuishi yale unayoyatamani,nakushauri jenga familia imara ,as along as uchumi upo vzr zaa/adopt watoto wengi uwezavyo,walau utafidia gap uliyonayo....hata kama sio basi watoto wako wataishi katika namna ambyo wewe hukuishi. Familia ni moja ya taasisi bora zaidi.
Kwani ukifa sasa na kanisa likachukua mali,lilitafuta na wewe?Sasa kwa nn ujisikie unyonge kugawana na mwenzio kama mambo yakiharibika ?Hata mkigawana,bado watoto ndio watatufaika na mali zako pia. Anyway,unaweza kuandika mgawanyo mali zako wakati ukiwa ndoani. Kila laheri.
Nashukuru mkuu.
Wazo la kuadopt ni ziuri na kama ni mwenza labda awe singo faza anijie na zawadi ya mtoto.
Kugawana mali hapana labda tuandikishiane kuwa tukiachana kila mtu abebe alichokuja nacho ila mambo ya jasho langu kwenda kunifaika mwanamke mwenzangu no way bora wakafaidike yatima
 
Hii story kama ni ya kweli ni story nzuri sana. Kwanza hongera kwa kuweza kusim
ama katika mapito yote uliyoyapitia. Japo kuwa umefanikiwa kupata fedha lakin bado kuna kitu umepungukiwa. Aman. Unafurahi na kujifariji na marafiki zako lakin kukosa familia kumekufanya uwe na nafasi katika moyo wako inayotakiwa kujazwa. Pesa haziwezi kuziba pengo hilo jitahidi upate familia ili ujaze huo moyo mtupu. Hiyo nafasi ambayo imeachwa wazi katika moyo wako ni kama kiu isiyopata maji daima itautesa mwili. Kama ukikubali mimi niko tayari kuujaza huo moyo mtupu na kukufanya uwe na aman.
Asante mkuu🙏🏼
Uko sahihi.
Kuna nyakati yanatokea mambo basi unajiona mpweke na mnyonge sana ila kuna siku huwa nafurahia the way maisha yangu yapo
 
🙏🏼🙏🏼
Hongera sana mleta mada, km ni story ya kweli, basi una uzoefu mkubwa wa mambo! Hasa kuficha uhalisia wako! Kila la heri pia!

Najaribu kufikiria wakati mwingine ni vizuri kukutana na watu km wewe wenye kuleta challenge ktk maisha! 😄
 
Sasa mkuu unaogopa kupopolewa wakati we tayari umetupopoa wababa ambao hatuna uwezo wa kuwapa watoto wetu maisha mazuri na exposure kama ulivompa mwanao?

Singo mama wakijipata taaabu kwel kwel,

ephen_ kama hujakuja ukuje huku uona singo mama atheist aliyejipatia madhabahuni alivotupopoa wababa huku, sijui niache huu ulokole wangu?
Umeamua tu kutafuta sbb ya kumponda singo mama Pridah.😀

Mi sijawapopoa wababa coz najua hamjataka tu ila yote nayompa dogo na nyie mkiamua mnaweza
 
Back
Top Bottom