Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Hio sifa mbaya iko wapi? Nimekuja mbio nione mwenye sifa mbaya nakuta stori za maisha ya kila siku. Sisi wengine tunapenda sifa mbaya. Moderators badilisheni kichwa cha hii thread
Mhm.!!
 
Pridah weeee
 
Hio sifa mbaya iko wapi? Nimekuja mbio nione mwenye sifa mbaya nakuta stori za maisha ya kila siku. Sisi wengine tunapenda sifa mbaya. Moderators badilisheni kichwa cha hii thread
Mkuu ujue si mnasemaga kila siku hapa kuwa singo maza ni laana?
Sasa singo maza anayekana uwepo wa Mungu si zaidi ya laana?
Hata hivyo asante🙏🏼 Kwa kuona sio tatizo
 
Ni kweli wewe ni mtu muovu, una sifa mbaya kwenye jamii yaani haufai kabisa

Wewe ni selfish sana unajali tumbo lako na huyo mtoto wako tu, lakini haujali watu wengine kabisa

umefanikiwa kutoka katika kifungo/jela ya imani ambayo inawapotezea muda watu wengi, kuwarudisha nyuma kiichumi na kuwafilisi kabisa, badala ya wewe kuwa mkombozi umekuwa ndo tatizo unaendelea kula sadaka za watu kujinufaisha mwenyewe na mtoto wako

Kwanini usiwe mfano wa kuwatoa matongo tongo watu wengine kwa kuwapa elimu,facts,logic juu ya utapeli wa uwepo wa Mungu ambayo ni miradi ya wazungu na waarabu au ni tamaa ya sadaka za watu?

Mbona members kama Scars na Kiranga Infropreneur wanajitahidi sana kuwaokoa watanzania kwenye jela ya imani ambayo ni utapeli, kwanini wewe unatumia fursa ya ujinga wao kuwatapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…