Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ,hongera imani yenu inazidi kuchanja mbugaHuyu mtu wetu tushaelewana pa kukutana. Kuna vikao maalum vya kutoa support.
Hoyo si imani, ni kukosa imani.Dah ,hongera imani yenu inazidi kuchanja mbuga
Yaani hana baya,mtoto mzuri kibisa,eti watu hawajui hata kama anakunywa wine ha haaaaHahahahaha, umeona eeh
Kwa hiyo nyinyi hamna imani yeyote!nimewaelewaHoyo si imani, ni kukosa imani.
Ukisema hiyo ni imani ni sawa na kisema kunyoa kipara ni mtindo wa kisuka nywele.
Mimi sitaki imani, nataka kujua.Kwa hiyo nyinyi hamna imani yeyote!nimewaelewa
Asante kwa meseji ya upendo mkuu😍😍 ila sihitaji kuponywa sina tatizo lolote.🙏Nimeguswa na story yako, Mungu akuponye!Mungu yupo, kwangu niliamini zaidi baada ya kutafakari story ya Moses kwenye biblia, kuna muda anaruhusu watesi wako wakuendeshe ili na yeye adhihirishe ukuu wake kwenye maisha yako. Nanukuu Kutoka 14:4 "Nami nitaufanya uwe mgumu moyo wa Farao, naye atafuata nyuma yao; nami nitajipatia utukufu kwa Farao, na kwa jeshi lake lote; na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA." Pia ukisoma warumi 9:14-24 kuna maneno mazuri sana ya kuamini Mungu na nguvu zake. Mstari wa 17 umekazia nanukuu "Kwa maana Maandiko yamwambia Farao, “Nilikuinua kwa kusudi hili hasa, ili nipate kuonyesha uweza wangu juu yako, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.” JESUS LIVES AND FOREVER HE REIGNS. Wewe wala sio mwanamke mwenye sifa mbaya, you are God's Chosen. At the end of the day, we are all a work in progress!!
Sasa unaenda na msalaba golgota kufanya nini na wewe au unataka na wewe ukatufie🏃😜(joke)Mimi na msalaba tu hadi goligota,yaani hata nipitie juu ya moto sijawahi ku doubt uwepo wa Mungu sijui kwa nini!?Nikijiangalia jinsi nilivyoumbwa kwa jinsi ya ajabu mithili ya mashine,siwezi doubt uwepo wa Mungu...Pia nikisafiri mitaa ya katonga nikiangalia ule uumbaji, nikikaa zangu beach nikiangalia bahari, vipepeo,maua,na na ndege wa kila rangi naamiini lazima kuna CREATOR wa hizi arts haziwezi tokea tu from nowhere....japo kuna baadhi ya maelezo kwenye dini yamekuwa exaggerated hilo huwa natafakari pia
NDUGU WANATENGENEZWA sittalisahau hili neno🙏🙏Uzuri ni kuwa maisha ni yako....hili swala la ndugu mie huwa naona ni dhana tu....lakini binadam wote tupo sawa tu...maana ukiangalia huo undugu tunaouzungumzia huwa hauendi umbali wa zaidi ya generation moja na familia kadhaa....mfano now days baba na mama watoto ndio ndugu....ukija shangazi,mjomba, mamkubwa nk wapo lakini ile bond hakuna zaidi ya kwenye misiba na harusi ila yakikukuta utawaona muda mfupi tu baada ya hapo ni simu tu...so kwangu mimi ndugu wanatengenezwa....kunywa wine sio dhambi(japo unahofu kutokana na waliokuzunguka....but narudia maisha ni yako) hivyo usiwaze kunywa...huamini kuwa Mungu yupo pia haina tabu but hao wanaoamini yupo ndio unaoishi nao leo na ndio ndugu zako....kula maisha mrembo...hayo ya Mungu na mengine tutajua tukishatoka hapa.
Mtumishi,ila sisi unavyotuambiaga tutaenda motoni tuache kunywa ka wine nyieeeeeHata wewe huna baya Joh .
Ka wine muhimu kwa kweli