Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

sijawahi ona singo maza mwenye akili timamu na hapa umethibitisha..... unaleta chai kumsifia mwanao huna uwezo wa kutoa malezi hayo kwa akili zako unavyojionyesha kwenye uandishi wako. singo maza wote mirembe kiongozi wao kathibitisha hapa
 
Good story ila unahutaji mwenza
 
Nimeguswa na story yako, Mungu akuponye!Mungu yupo, kwangu niliamini zaidi baada ya kutafakari story ya Moses kwenye biblia, kuna muda anaruhusu watesi wako wakuendeshe ili na yeye adhihirishe ukuu wake kwenye maisha yako. Nanukuu Kutoka 14:4 "Nami nitaufanya uwe mgumu moyo wa Farao, naye atafuata nyuma yao; nami nitajipatia utukufu kwa Farao, na kwa jeshi lake lote; na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA." Pia ukisoma warumi 9:14-24 kuna maneno mazuri sana ya kuamini Mungu na nguvu zake. Mstari wa 17 umekazia nanukuu "Kwa maana Maandiko yamwambia Farao, “Nilikuinua kwa kusudi hili hasa, ili nipate kuonyesha uweza wangu juu yako, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.” JESUS LIVES AND FOREVER HE REIGNS. Wewe wala sio mwanamke mwenye sifa mbaya, you are God's Chosen. At the end of the day, we are all a work in progress!!
 
Mkuu
Mkuu kwanza kabisa nimekupenda.
Nyeusi umesema nyeusi ila mimi sihubiri ili nipate sadaka bali najaribu kufundisha vitu vizuri vya kumkomboa hasa mwanamke.Sipendi kuhubiri mambo ya kufikirika sbb naona nadumaza watu.

Kikubwa kablq ya kuniona tapeli wa sadaka napenda ujue nahitaji muda au hata msaada wa kukabiliana na matokeo yatakayofuata nitakapoanza harakati za kusaidia watu kutoka jela ya dini.

Tambua nitakapoanza tu nitaitwa mpinga kristo na nitawapoteza wote niwapendao na nitafukuzwa kanisani ambako ni sawa na nyumbani.Kanisa ndio nyumbani kwa mimi.

Haitakuwa rahisi mkuu ila ngoja nitakapokuwa na kina Kiranga naamini kwa vile wao ni wasomi na wana upeo mkubwa naweza jifunza jinsi ya kufanya.

Natamani sana kuwatoa huko mkuu ihasa rafiki zangu ila naogopa so najikuta naendeleza kuchapa injili
 
Fafanua vizuri nisijekosea siku ya kujitambulisha.

Ni kiongozi wa vichaa,kiongozi wa singo maza au vyiote kwa pamoja mkuu?
 
Pridah Anashindwa kumfundisha mtoto anachoamini kwa kuwa hana uhakika moja kwa moja kama Sir God hayupo,yupo 50 ,50
😀😀😀 kubali tu na kwani mim kutoamin mbona hakiathiri chochote kwenye undugu wetu?

Wewe ng”ang”ania pindo la Yesu(usimchanie tu nguo) na mimi acha ning”ang”ane na kina Elon Musk ila kila mtu amheshimu mwenzie
 
🥰🥰🥰 naona inawawia ngumu sana kukubali imani yangu watumishi.

Na ndio maana naogopa kusa ktk maisha halisi mana kuna watu watalia kabisa kama vile nimekufa.
 
Joannah Hata mwanamke anayejiuza hapendi binti yake awe Kama yeye. Anajua fika kuwa anachokifanya siyo kizuri.
Sbb za kumficha si nimezieleza lkn mkuu?
Mwanangu ni mjanja sana nina uhakika atakua atheist tu.
Mtu anataka kuwa astronaut unashani ataishiaje?
 
😀😀😀 kubali tu na kwani mim kutoamin mbona hakiathiri chochote kwenye undugu wetu?

Wewe ng”ang”ania pindo la Yesu(usimchanie tu nguo) na mimi acha ning”ang”ane na kina Elon Musk ila kila mtu amheshimu mwenzie
Mimi na msalaba tu hadi goligota,yaani hata nipitie juu ya moto sijawahi ku doubt uwepo wa Mungu sijui kwa nini!?Nikijiangalia jinsi nilivyoumbwa kwa jinsi ya ajabu mithili ya mashine,siwezi doubt uwepo wa Mungu...Pia nikisafiri mitaa ya katonga nikiangalia ule uumbaji, nikikaa zangu beach nikiangalia bahari, vipepeo,maua,na na ndege wa kila rangi naamiini lazima kuna CREATOR wa hizi arts haziwezi tokea tu from nowhere....japo kuna baadhi ya maelezo kwenye dini yamekuwa exaggerated hilo huwa natafakari pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…