Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Wakuu [mention]7seven [/mention] na [mention]Walker Water [/mention] mawazo kidogo kwenye huki ili wote tuweze kusonga mbele hakuna mtu kubaki nyuma
 
Are you straight,Bi,or unawapenda wadada wenzio???
Unamaliza vipi hamu
Am very straight.
I do men.
Napenda harufu ya mwanaume,
Wana jasho lao fulani hivi.😁

Swali lako la mwisho tuli delete my naona hatupaswi kuulizana hayo🙏
 
Asante kwa meseji ya upendo mkuu😍😍 ila sihitaji kuponywa sina tatizo lolote.🙏
 
Sasa unaenda na msalaba golgota kufanya nini na wewe au unataka na wewe ukatufie🏃😜(joke)

Hata sikubishii kuwa dunia ina mambo mengi ya ajabu ya kushangaza Joh ila sasa tukija kwa huyu "creator" ndo napata kizunguzungu.
Angalia "alivyoumba) nyota na mwezi na milima ya Kitonga kwa ufundi ila anaruhusu mama apate mtoto apate kichanga kina moyo una tundu auzazi masikini apate mtoto anayehitajk matibabu ya zaidi ya laki tano kwa mwezi ili asurvive.

Huo mwili wako ni machine ya ajabu ndio ila kwanini miimi na wewe katupa machine hazina tatizo halafu kuna alopewa machine ina matatizo kibao?
Wamemkosea nini sbb kama "dhambi" wote tunazo?
 
Uzuri ni kuwa maisha ni yako....hili swala la ndugu mie huwa naona ni dhana tu....lakini binadam wote tupo sawa tu...maana ukiangalia huo undugu tunaouzungumzia huwa hauendi umbali wa zaidi ya generation moja na familia kadhaa....mfano now days baba na mama watoto ndio ndugu....ukija shangazi,mjomba, mamkubwa nk wapo lakini ile bond hakuna zaidi ya kwenye misiba na harusi ila yakikukuta utawaona muda mfupi tu baada ya hapo ni simu tu...so kwangu mimi ndugu wanatengenezwa....kunywa wine sio dhambi(japo unahofu kutokana na waliokuzunguka....but narudia maisha ni yako) hivyo usiwaze kunywa...huamini kuwa Mungu yupo pia haina tabu but hao wanaoamini yupo ndio unaoishi nao leo na ndio ndugu zako....kula maisha mrembo...hayo ya Mungu na mengine tutajua tukishatoka hapa.
 
Wakuu [mention]7seven [/mention] na [mention]Walker Water [/mention] mawazo kidogo kwenye huki ili wote tuweze kusonga mbele hakuna mtu kubaki nyuma
🙏🙏
 
NDUGU WANATENGENEZWA sittalisahau hili neno🙏🙏


Mimi na ndugu zangu wakutengeneza tunapendaba kuliko hata baadhi ya watu na ndugu zao wa kuzaliwa
.
🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…