Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Mimi naona uko sahihi. Kuhusu kuwa madhabahuni huku ukiwa atheist ni sawa tu kwa sababu wewe sio tapeli wa kwanza wa madhabahuni. Piga hela za wajinga wajinga.
 
Ni mtizamo wako mkuu
Kama wewe ni atheist halafu unawahadaa watu wakuamini kuwa ni mtumishi wa Mungu huna tofauti na matapeli wengine wa injili. Tunashinda nao kwa waganga ila kanisani ndo wachungaji na manabii feki.
 
Kama wewe ni atheist halafu unawahadaa watu wakuamini kuwa ni mtumishi wa Mungu huna tofauti na matapeli wengine wa injili. Tunashinda nao kwa waganga ila kanisani ndo wachungaji na manabii feki.
Sina hata cha kukuambia mkuu
Laiti ungejua ni kiasi gani nimetoa kwenye shule na vituo vya yatima chini ya kanisa usingeongea haya.
 
Wewe ni mwanamke na nusu.

Bonge la woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…