Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Mbona hukunipigia simu dada yako kama ulinimiss?
Sorry😢 sana Nilipoteza Contacts zote aisee maana nilikuwa Natumia domain ya jamiiforums.com kwenye email yangu na ndiyo nilikuwa nimesajili as a Google contact, (Gmail account) Kuna siku Boss Melo ananitumia ujumbe whatsapp kwamba wanailipia kila mwezi gharama zimekuwa kubwa. Nikamwambia anipe muda nihamishe data zangu na emails zangu. Kumbe Wafanyakazi wake walikuwa wameshafuta. Nimepoteza zaidi ya contacts 3000, documents za projects zangu. Ni PM tu. My Birthday is loading
 
Sorry😢 sana Nilipoteza Contacts zote aisee maana nilikuwa Natumia domain ya jamiiforums.com kwenye email yangu na ndiyo nilikuwa nimesajili as a Google contact, (Gmail account) Kuna siku Boss Melo ananitumia ujumbe whatsapp kwamba wanailipia kila mwezi gharama zimekuwa kubwa. Nikamwambia anipe muda nihamishe data zangu na emails zangu. Kumbe Wafanyakazi wake walikuwa wameshafuta. Nimepoteza zaidi ya contacts 3000, documents za projects zangu. Ni PM tu. My Birthday is load
Duh,what a loss,pole sana.
Hapo kwenye birthday 😂😂😂 Lamomy njoo tumuandalie part mdogo wangu
 
Back
Top Bottom