Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vile atheist ndio weee huna hofu na yeyote ni mwendo wa kugida tuWapendwa ni ngumu kuelewa hayo😀
Ila nishazoea mateso yangu na labda huwezi jua labda ningekua free kinywa ningekua alcoholist
Anakupenda huyo jamaa Sana’aWeee sema kweli,?nimeamini upendo wangu kwa rafiki Tresor Mandala hauendi bure
😂😂😂 Achukue tips kwa manyanza awe anajitengenezea mwenyewe🤣🤣🤣🤣Mateso yote hayo ya nini da padri ana visa nyie!mbona Yesu alibadili maji kuwa divai kule kana y galilaya ye anakwama wapi?
Akhu.! 😂😂😂Ila mnaendana ujue😀
Aingie kwenye ukoo kupitia wewe mdogo wangu😂
Usiseme ananipenda,sema TUNAPENDANA😂😂😂😂Anakupenda huyo jamaa Sana’a
Sorry😢 sana Nilipoteza Contacts zote aisee maana nilikuwa Natumia domain ya jamiiforums.com kwenye email yangu na ndiyo nilikuwa nimesajili as a Google contact, (Gmail account) Kuna siku Boss Melo ananitumia ujumbe whatsapp kwamba wanailipia kila mwezi gharama zimekuwa kubwa. Nikamwambia anipe muda nihamishe data zangu na emails zangu. Kumbe Wafanyakazi wake walikuwa wameshafuta. Nimepoteza zaidi ya contacts 3000, documents za projects zangu. Ni PM tu. My Birthday is loadingMbona hukunipigia simu dada yako kama ulinimiss?
Duh,what a loss,pole sana.Sorry😢 sana Nilipoteza Contacts zote aisee maana nilikuwa Natumia domain ya jamiiforums.com kwenye email yangu na ndiyo nilikuwa nimesajili as a Google contact, (Gmail account) Kuna siku Boss Melo ananitumia ujumbe whatsapp kwamba wanailipia kila mwezi gharama zimekuwa kubwa. Nikamwambia anipe muda nihamishe data zangu na emails zangu. Kumbe Wafanyakazi wake walikuwa wameshafuta. Nimepoteza zaidi ya contacts 3000, documents za projects zangu. Ni PM tu. My Birthday is load
Hahahahaha, Salam ulizipata lkn ?Weee sema kweli,?nimeamini upendo wangu kwa rafiki Tresor Mandala hauendi bure
HahahahahaAnakupenda huyo jamaa Sana’a
Hahahahaha, HahahahahaUsiseme ananipenda,sema TUNAPENDANA😂😂😂😂
Anataka kukuonea wakati twapendana 😁Hahahahaha, Hahahahaha
Ana mtima nyongo huyo hajataka kuniambiaHahahahaha, Salam ulizipata lkn ?